Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

mpumbavu ni wewe unaefananisha vitu visivyofanana,mtoa mada anazungumzia kitu kingine wewe unaleta habari za kuvaa hijab na nyie tukiwaendekeza mtatuvalia makanzu yenu hadi sehemu zisizostahili tutaendelea kukaza mpaka akili ziwakae sawa.
Ww unalalamika Azam wamewabagua wakristo kisa tu wamekataa kutaja neno krismas ,ila ITV walio kataza wanawake wa kiislam kuvaa hijabu ndani ya ofisi zao wako sawa? hivi kichwani mwako kuna akili au umejaza mavi?
 
Kuna channels za kikristo ndani ya dekoda ya Azam,ukifungua hizo utapata wishes mpaka theluji itakudondokea
 
ITV kuna mpaka na sheria ya kukataza wanawake walio ajiliwa hapo kuvaa hijabu mbona hujawahi kuja hapa kubwabwaja kuhusu hilo?
Ilikua media zote Hadi TBC,mabinti wa kiislam walipata shida kisa ushungi, Allah sw kamleta bakhresa na bonge la media house
 
Qur'an inasema baadhi ya wakiristo Wana chuki Sana na waislam, Qur'an haiongopi!!
 
Huwa nashangaa sana mkristu unapost Ijumaa Qareem, sijui Idd Mubarak na kauli zingine za kujipendekeza. Hawa watu kamwe huwezi kuta wamepost "Dominika Njema" au "wish za siku ya Noel wala Pasaka" kwao ni mwiko! Anyway acha tuishi atakaesalimu amri atamheshimu mwenzake

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Qur'an inasema baadhi ya wakiristo Wana chuki Sana na waislam, Qur'an haiongopi!!
inawapotosha kama inazungumzia mambo hayo na ndio mana mmepotoka kila kona na kuishia kuwa wabaguzi kwa kujiona inferior na mnaonewa kila wakati
 
umeona eeh yani sijui wakristo huwa wanataka nini?????binafsi hata kuandika tu hayo maneno siwezi na wala siwezi vaa mavazi yao si balakashia au kanzu au hijab never
 
umeona eeh yani sijui wakristo huwa wanataka nini?????binafsi hata kuandika tu hayo maneno siwezi na wala siwezi vaa mavazi yao si balakashia au kanzu au hijab never
Vijana mnachuki za kidini mtadhani hizo dini mmechagua asilimia kubwa ya watu wa dini ni by birth umejikuta tu umezaliwa ndani ya familia ya Kikristo/Kiislamu hukuchagua lakini mnajivika mzigo mkubwa wa chuki for no reasons na unakuta mtu anasambaza chuki hapa wakati katika marafiki zake mtaani kuna wakristo na waislamu ila hapa tu ndio wanaonyesha rangi yao halisi.
 
Yaani hawa waarabu na wazungu walituharibu sana kutuletea huu upuuzi wao hebu fikiria mtu anafanya research ya kuona kama chanel itarusha "wish you a merry christmas & happy new year"! Usikute huyu ni msomi na anaitwa baba! Usikute mwingine huko akiona kwaya au mahubiri ya injili kwenye kituo cha tv/radio kinachomilikiwa na mwislam anahisi kichefuchefu! THIS IS PURE APEDOMIA.
 
na wanaoongoza kwa chuki ni waislamu na sijui wakristo wangekuwa na chuki kama wao ingekuwaje
 
na wanaoongoza kwa chuki ni waislamu na sijui wakristo wangekuwa na chuki kama wao ingekuwaje
Wewe bado mdogo sana toka bwenini kwanza unapojifungia na wenzako kwenye cube moja na kujazana ujinga njoo duniami kwanza uone maisha yalivyo ndio utajua chuki humuumiza yule mwenye kuzifuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…