ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ww unalalamika Azam wamewabagua wakristo kisa tu wamekataa kutaja neno krismas ,ila ITV walio kataza wanawake wa kiislam kuvaa hijabu ndani ya ofisi zao wako sawa? hivi kichwani mwako kuna akili au umejaza mavi?mpumbavu ni wewe unaefananisha vitu visivyofanana,mtoa mada anazungumzia kitu kingine wewe unaleta habari za kuvaa hijab na nyie tukiwaendekeza mtatuvalia makanzu yenu hadi sehemu zisizostahili tutaendelea kukaza mpaka akili ziwakae sawa.