Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Hakuna chuki, ni ukweli, bora asingetoa kigezo cha dini.
Af kitu kwingine no kuwa wmmiliki anaweza kataa tangazi lako ili uone ni haiwezekan na ndipo upande day parefu, unazan matangazo ya nymbe yanawalipa kuliko matangazo ya pombe, wanawavuta ili mjae mzee relax.....mbna zbc Huwa wanatangaza kiwiz
 
Hata nabii issa alitengeneza pombe,pombe ya mbinguni tamu shehe sio hii yenu unakunywa unakunja udo
Nabii issa wa kwenye qur an sio? Yule aliyezaliwa chini ya mtende, yule ambaye atakuja na ataoa? Kama ni huyo basi ni msela kama alivyokuwa muhammad na allah.
 
Wana mkataba wa kuonesha ligi kuu kwa miaka kumi, je mdhamini nbc akibadilika na kuja mwingine muuza pombe kama serengeti akadhamini ligi watakubali kuonesha matangazo ya pombe? Ni wanafiki, wanaogopa mvua wakati maji wanayatumia
 
Dau
 
Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.

Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.

Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?

Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.

ZBC Pia hii inawahusu.
kwenye pombe weka gambe watakubali
 
Wana mkataba wa kuonesha ligi kuu kwa miaka kumi, je mdhamini nbc akibadilika na kuja mwingine muuza pombe kama serengeti akadhamini ligi watakubali kuonesha matangazo ya pombe? Ni wanafiki, wanaogopa mvua wakati maji wanayatumia
Afu watamtangaza Kwa jina la logo simple
 
Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.

Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.

Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?

Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.

ZBC Pia hii inawahusu.
Kila mmoja afanye dhambi anazoona zinamfaa sio kila dhambi lazima ufanye
 
Back
Top Bottom