Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.

Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.

Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?

Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.

ZBC Pia hii inawahusu.
Hawanywi pombe ila wanapenda papa
 
Ukute tangazo lenyew ni la dabi Kiki au master au rider sizan Kama mtoa mada anatoka tbl au sbl au Windhoek,au guinnes au bas....Hauna busara za kutosha kuwa mtu wa advertising kweny big cash company ,hauna kifua kuficha Siri ,mm binafsi logo ya bongo n expensive Sana sidhani Kama Kwa ubongo wako unafaa kuwa mfanya KAZI au mmiliki na ukawa sehem ya matangazo ya ligi usifanye masikhara kwenye investment hawajafika pale juu ghafla
 
On point
 
Afu watamtangaza Kwa jina la logo simple
kumbukeni kuna makampuni ya pombe hudhamini ligi kuu na hata ligi daraja la kwanza, bia kama safari, pilsner, serengeti, kilimanjaro kampuni zao haziko mbali na ligi au michezo mingine kudhamini, ina maana azam ataacha kutangaza bidhaa hizo wakati anarusha michezo? Kuna kombe la dunia na afcon huko nako kuna makampuni ya bia yapo atakwepa vipi matangazo yao wakati anarusha michezo inayodhaminiwa na pombe hizo?
 
Hayo yote anayajua usimfundishe how to run his business, hivi unadhani akiacha kutangaza hilo kombe la dunia atapungukiwa chochote kwa upeo wako?
 
Ukute tangazo lenyew ni la dabi Kiki au master au rider sizan Kama mtoa mada anatoka tbl au sbl au Windhoek,au guinnes au bas....Hauna busara za kutosha kuwa mtu wa advertising kweny big cash company ,hauna kifua kuficha Siri ,mm binafsi logo ya bongo n expensive Sana sidhani Kama Kwa ubongo wako unafaa kuwa mfanya KAZI au mmiliki na ukawa sehem ya matangazo ya ligi usifanye masikhara kwenye investment hawajafika pale juu ghafla
Kuficha upuuzi kama huu ni uhayawani. Angesema tu hatupokei matangazo ya pombe ingetosha sio kuweka suala la dini wakati wanaruhusu mambo mengi ambayo uislamu umekataa.
 
Acha kumpangia mtu biashara yake si ufungue na wewe tv yako mkuu tatizo lipo wapi mbona makasiriko sana,kwani tv nyingine si zipo peleka huko tangazo lako
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Tatizo sio kukataliwa, tatizo ni kusema kigezo cha kukataa ni dini, sasa kama ni dini allah anakubali vichupi?
 
Mkuu mtu kama hataki na kitu chake usimpangie mambo yake ya imani muachie yeye na mungu wake, mambo ya imani ni very subjective huwezi kumchagulia mtu , ni magumu sana kujudge kila mtu aamini anachoona sawa
 
Aache kurusha michezo atangaze dini tu
 
Aache kurusha michezo atangaze dini tu
Sasa mimi na wewe hatuwezi kumpangia , hivi mtu katoa mabilioni yake kununua rights , wewe unashiba ugali wako huko buza unaanza kumpangia kweli? Kuna jew mmoja ambaye ni member wa premier league faith ethics comitee juzi karesign alikuwa anataka viwanja viwekwe bendera ya israel siku za mechi, wazungu na member wenzake wakamgomea wakamwambia hii nchi ina watu w pande zote na wote kiubinaadamu wameathirika na hivi vita hatuwezi kuwapendelea hawa tukawaacha wengine , hapo najaribu kukwambia tu tukiacha kuangalia vitu kishabiki mambo yatakaa sawa
 
Nabii issa wa kwenye qur an sio? Yule aliyezaliwa chini ya mtende, yule ambaye atakuja na ataoa? Kama ni huyo basi ni msela kama alivyokuwa muhammad na allah.
Na hilo ndilo lengo la post yako ni kutukana na sio hilo la tangazo kama ulivyojinasibisha nalo.
Ujinga ni pale unapojikuta uko sahihi kwa kukejeli Imani za wengine bila kujiuliza nao wanaichukiliaje imani yako na wamefunga.

Kila mwanadamu awe kiongozi wa dini au mfuasi ktk kumuendea muumba wake kwa imani aaminiyo huwa anatekeleza yale anayoyamudu binafsi sijapatapo kuona mwanadamu asiye tenda dhambi.
Swali je kila mtenda dhambi haruhusiwi kujinyenyekeza kwake....? Kwa imani yetu haiko ivo nitakachokimudu kukiacha nitakiacha tena kwa kuamini kuwa naacha kwa sababu ya kukatazwa na Allah subhanahu wataala na ninachokifanya kimakosa hayo ni madhaifu yangu..
Sidhani kama utaacha kwenda kanisani eti kisa umemkuta mchungaji akifanya dhambi itakuwa tu hauko na imani na si mchungaji

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Unafiki allah hapendi kabisa
 
Pombe ni hatari Kuna jirani yangu anafanya fujo sana hapa katika Familia yake Kama kichaa Bakhressa yupo sahihi Sana hata hotel Verde Pombe hawauzi ukimtafuta Mungu lazima umuishi kwa vitendo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ktk yote tangazo la Verde pale walichemka sana. Huwezi kuwa na double standard ya kijinga vile.
Naona miaka kumi ijayo Azam TV itakuwa tofauti sana
 
Pombe ni hatari Kuna jirani yangu anafanya fujo sana hapa katika Familia yake Kama kichaa Bakhressa yupo sahihi Sana hata hotel Verde Pombe hawauzi ukimtafuta Mungu lazima umuishi kwa vitendo
Kwahiyo Vichupi ni halali kwenye uislamu?
 
Back
Top Bottom