Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

Bakhressa muache yule sio mwenzio
Hujajibu swali, allah kawaamuru msiweke matangazo ya pombe lakini muweke matangazo ya wanawake waliovaa vichupi na kuweka nyimbo za bongo flavor zenye vibinti vidogo vilivyo uchi? Kama ndivyo basi allah ni mpumbavu.
 
Sawa🙌
 
Wako sahihi ile ni private organisation kama ilivyo upendo tv wana maamuzi yao binafsi
 
Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV.

Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki.

Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao pombe ni haramu lakini muziki wa kidunia ni halali? Maana UTV inaweka nyimbo za hovyo na wasanii waliovaa vichupi, tangazo la Hotel Verde pia lina mdada kavaa chupi, je hayo ndiyo yanafaa kiimani?

Nitoe wito kwa wamiliki kuacha unafiki, kama wameamua kufuata maadili waachane na muziki, ndondi, movies za kipuuzi nk. Na kama wanaruhusu hayo waruhusu pia matangazo ya pombe.

ZBC Pia hii inawahusu.
Wamekukatalia labda wewe si muislamu mwenzao, mbona wanatangaza bia ya Serengeti, Kilimanjaro na nyinginezo. Pia mbona kuna mahubiri mengi tu ya kikristu na nyimbo pia, kama una kumbukumbu kuna malalamiko yaliyowahi kutolewa kuhusu Azam TV na ubaguzi wa dini.
 
Sijui kama ni kwasababu ya udini au la
 
Wako sahihi ile ni private organisation kama ilivyo upendo tv wana maamuzi yao binafsi
Namimi sijasema kuwa hawako sahihi nimeuliza kuwa huyo mungu wao hataki pombe ila vichupi ni ruksa?
 
Usilam unaweza kuwa hauna shida ila waislamu wengi ndio Kara ya watu wanaongosza Kwa unafiq
 
Hayo yote anayajua usimfundishe how to run his business, hivi unadhani akiacha kutangaza hilo kombe la dunia atapungukiwa chochote kwa upeo wako?
Zipo sawa kichwani! Yaani akiacha kutangaza kombe la dunia hatapungukiwa kitu! Yaani Startimes atangaze na Azam aache bado watu wataangalia kusiko kombe la dunia?
 
Unafiki ni jambo baya, na huo uislam unakemea hilo jambo.

Wao kama hawataki pombe waseme tu hatutaki wasijifiche kwenye mwamvuli wa dini, vinginsana wanafanya kwenye dini hairuhusiwi.

Dini haitaki double standard
Sio lazima iwe dini, hizo ni values zao, sisi tunakosea kuhusianisha msimamo huo na dini.

Vv
 
Back
Top Bottom