MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Oct 15, 2023 #81 Ni wiki sasa namuona mtangazaji wao Baraka Adson Mpenja akidai anarudi kwao umalila . Niko namsubiri ili anieleze ikiwa ni kweli katemwa kisa udini basi kwa heshima kubwa nitaleta mrejesho boss mkuu wa maboss Boss la DP World Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ni wiki sasa namuona mtangazaji wao Baraka Adson Mpenja akidai anarudi kwao umalila . Niko namsubiri ili anieleze ikiwa ni kweli katemwa kisa udini basi kwa heshima kubwa nitaleta mrejesho boss mkuu wa maboss Boss la DP World Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,017 Reaction score 8,442 Oct 15, 2023 #82 Hismastersvoice said: Zipo sawa kichwani! Yaani akiacha kutangaza kombe la dunia hatapungukiwa kitu! Yaani Startimes atangaze na Azam aache bado watu wataangalia kusiko kombe la dunia? Click to expand... Kuna biashara nyingi anaweza akafanya kuliko kusupport pombe haitokaa kutokea kwa bakhressa hiyo kakuachia wewe ufanye upate hela
Hismastersvoice said: Zipo sawa kichwani! Yaani akiacha kutangaza kombe la dunia hatapungukiwa kitu! Yaani Startimes atangaze na Azam aache bado watu wataangalia kusiko kombe la dunia? Click to expand... Kuna biashara nyingi anaweza akafanya kuliko kusupport pombe haitokaa kutokea kwa bakhressa hiyo kakuachia wewe ufanye upate hela