Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwajibu kuna watu humu hawajui hata maana ya family ni nini, watu wako busy siku nzima ni afya family kukaa pamoja na kuangalia vitu pamoja kama family inajenga sana family imara huku mkipata dinner sasa nashangaa mtu anasema unatizama picha na watoto. Sisi kabla ya hii mitandao wazee wetu walikuwa wanataka kila mtu wakati wa dinner awepo nyumbani kuna maana kubwa sana. Sipendi tabia ndani ya nyumba kila mtu yuko kivyake na simu kila jambo lina wakati ila lazima mtenge muda kama family kuwa pamoja na best time ni saa 2 mpaka saa 4 usiku.Kwahiyo saa mbili wewe huwa unakaa wapi?
Maana huo ni mud WAKULA chakula cha usiku na familia na Imezoeleka tv huwa on muda huo
Nimekuelewa baadhi ya watu wanaishi mifumo ya ajabu duniani.Usiwajibu kuna watu humu hawajui hata maana ya family ni nini, watu wako busy siku nzima ni afya family kukaa pamoja na kuangalia vitu pamoja kama family inajenga sana family imara huku mkipata dinner sasa nashangaa mtu anasema unatizama picha na watoto. Sisi kabla ya hii mitandao wazee wetu walikuwa wanataka kila mtu wakati wa dinner awepo nyumbani kuna maana kubwa sana. Sipendi tabia ndani ya nyumba kila mtu yuko kivyake na simu kila jambo lina wakati ila lazima mtenge muda kama family kuwa pamoja na best time ni saa 2 mpaka saa 4 usiku.
WAPUNGUZE MATANGAZO MENGI KUZIDI TAMTHILIA YENYEWEKwanini tunaomba mtubadilishie
Mwanaume wa darslumMwanaume unakaaje sebuleni kuangalia tamthilia na watoto.
Unakulaje huku unaangalia TV!!??Kwahiyo saa mbili wewe huwa unakaa wapi?
Maana huo ni mud WAKULA chakula cha usiku na familia na Imezoeleka tv huwa on muda huo
Mzee tunawakilisha majority ya wabongo mambo ya table manners hayajulikani Imezoeleka pakulia ni ukumbini na msosi huiva saa mbili.Unakulaje huku unaangalia TV!!??
Table manners huna ndio unalilia kulinda maadili yapi utakayokuwanayoo!!??
Hongera pengine hata kwako Huwa unafika Kwa mwaka mara moja.Tamthilia? Sijui mara ya mwisho kuangalia tamthilia ilikuwa lini.
Ndio umeongea nini?Sasa hivi Azam hawaoneshi tamthiliya za Uislam unaugalagaza Ukristu?