Ikifika saa nne weka Azam One huko kuna series za marekani hii itakusaidia kuepuka maudhui ya Azam Two, mwanzoni nilikuwa naangalia hizo tamthilia ila nilikuja kuacha baada ya kuona story zake zinafanana tu, nikahamia Azam one huko ni moto sasa hivi inaisha Godfather of Harlem then ianze Snowfall.
Kwanini Muhammad Ali hajafanyiwa epic movie ndefu kama ya Godfather I ya masaa manne lakini pia ikafanyika Godfather II n.k Je ni kwa sababu ni weusi au ni nini nyuma ya hali hii kutokea watu mashuhuri weusi kutotengenezewa series au kuoneshwa series zao ?
TOKA MAKTABA:
2013 15 Julai
Mshairi mashuhuri Nikki Giovanni anazungumza kuhusu Muhammad Ali na Malcolm X.
View: https://m.youtube.com/watch?v=zp-uFFVtTCA
Nikki Giovanni kwenye The Rock Newman Show. Anazungumza kuhusu umuhimu wao na jinsi walivyokuwa wakubwa kuliko maisha wakati wa ziara yake kwenye The Rock Newman Show @ Busboy na Poets 14th & V Sts. NW Washington DC Tazama Kipindi cha Rock Newman kila Jumamosi 9am hadi Adhuhuri (