Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Nina mwaka wa 5 nshakitupa hiki kijamaa sababu ya hizo tamthilia zao, nliona watoto wanachokijenga kichwan mwao sitoweza kuki control vichwani mwao siku za usoni
Yaani Azam tv hawajitambui kabisa hawajui kuchuja maudhui katika jamii yenye muingiliano mkubwa wa watu wao wanachojua ni Kum please alaa tu
 
Una fikra zenye mipaka sana, wafanyabiashara wangekuwa na mawazo kama yako hakuna kitu wangefanya
Fanya tafiti kidogo ufahamu hizo tamthilia za Kituruki zinapendwa kiasi gani na kwa nini zinangaliwa na kufuatiliwa kuliko nyingine, halafu uje na mawazo yako ya kijima juu ya biashara.
 
Yaani Azam tv hawajitambui kabisa hawajui kuchuja maudhui katika jamii yenye muingiliano mkubwa wa watu wao wanachojua ni Kum please alaa tu
Punguza mapovu nunua DSTV , siku mbili unakesha hapa kuwafundisha biashara watu walio kuzidi kwa Kila kitu.
 
Fanya tafiti kidogo ufahamu hizo tamthilia za Kituruki zinapendwa kiasi gani na kwa nini zinangaliwa na kufuatiliwa kuliko nyingine, halafu uje na mawazo yako ya kijima juu ya biashara.
Sasa ulitegemea waislamu wenzenu wazichukie?
Waislamu hawawapendi wayahudi na manaswara (wakristu) na Wana chuki dhidi yao hadi kiyama unadhani wakiona tamthilia mkristu anachinjwa atashindwa kuipenda?
 
Punguza mapovu nunua DSTV , siku mbili unakesha hapa kuwafundisha biashara watu walio kuzidi kwa Kila kitu.
Unajua kwanini hao walionizidi kila kitu wanatangaza kila siku tununue vifurushi vya visimbuzi vyao kwa 28000 ilhali wao Wana mabilioni?
 
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2

Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.

Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.

Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
  • Ertugrul
  • Ottoman
  • Barbarossa na Sasa ni hii
  • Alpasalani
Zote hizi maudhui ni yaleyale.

Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.

Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.

Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.

Mnakera bwana aah!
Wewe ndo ubadilishe channel au kingamuzi ACha kupangia Biashara za watu
Ndo maudhui waliochagua kulisha hadhira wao
 
Wewe ndo ubadilishe channel au kingamuzi ACha kupangia Biashara za watu
Ndo maudhui waliochagua kulisha hadhira wao
Hadhira ndiyo sisi na sisi ndo tunachagua kipi tule

Unajielewa kweli?
 
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2

Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.

Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.

Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
  • Ertugrul
  • Ottoman
  • Barbarossa na Sasa ni hii
  • Alpasalani
Zote hizi maudhui ni yaleyale.

Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.

Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.

Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.

Mnakera bwana aah!
Wenulyewe saivi wanakwambia ni zamu Yao, Zanzibar , bara , wao ndio wao, utawaambia nini yani.
 
Wenulyewe saivi wanakwambia ni zamu Yao, Zanzibar , bara , wao ndio wao, utawaambia nini yani.
Kuwa muislamu ni laana ni heri nisiwe na dini kabisa kuliko kuwa muislamu
 
Inaonekana agenda ya siri ya Azam ninkueneza uislam dhidi ya ukristu sema agenda inatumia njia ya mzunguko sana watu hawajastukia. Ni sort of propaganda ya udini yale matamthiliya
 
Dawa usilipie tu. Uwe unaangalia zile za "Religion" pekee kulingana na dini yako.
au ifunge Ile Azam two. Burudika na zilizobaki.

Azam tiviii ,burudani kwa wote 😃
 
Azam wanapenda udini sana
Nyie ndo mnachukukua udini na uwezo wenu wa kufikiria umeishia hapo Yale ni maigizo ya historia ya uturuki huwezi ukapindisha historia kwa kukufurahisha wewe mkuu

Udini mnasema nyie mbna haujasema wanadhalilisha taifa la Rome empire imekimbilia kwenye udini
 
Nyie NI haters wa kila Jambo
Azam kajitahidi kuweka maudhui ya kila dini na kila dini Ina stesheni yake ssa ile NI tamthilia ya mleengo wa historia ya uturuki unataka wapindishe historia kisa kufurahisha komwe lako

Hao unaowaita wakristo mbna hawajalalamika coz pale kawalenga wa Roma ssa Roma na komwe lako lipi la kukasirika

Jifunzeni kuapreciate michango ya watu ktk jamii sio mnabwata kwa kila jambo
 
Nadhan kinachoniunganisha mm na Azam tv ni mamipira tu mengne nshaacha kufuatilia kwa sababu za ubaguzi wao
Shame on you azam
 
kwa kweli sijui ni kwanini wanapenda sana maudhui ya udini, ila hilo swala wanatakiwa walifanyie kazi.. with time haya mambo yanachosha aisee
Mnachanganya kati ya Historical Drama na Religious Drama! Kwa mfano, wakati Mkwawe anadai tamthilia kama Ertugrul ina udini, tamthilia hiyo hiyo imepigwa ban kwenye nchi kadhaa za Kiarabu kama vile Saudi Arabia na hata UAE! Sasa kwanini Nchi za Kiislamu zipige ban tamthilia yenye Uislamu mwingi?! Sababu ni kwamba tamthilia sio ya kidini but more historical na nchi za Kiarabu ambazo ni Muslim Majority wanafahamu what it means when it comes historical background kati ya hizo nchi na Ottoman Empire! Na ukiziangalia kwa makini utagundua moja kwa moja wanachofanya Uturuki ni kuonesha their past superiority kiutawala na sio kidini!

Lakini kwa upande mwingine, mbona Azam wana tastes nyingi sana?! Kuna channels zinazoonesha filamu na tamthilia za Kizungu, Kihindi, n.k! Ina maana zote hizo zinaonesha maadhui ya bwana Mudi?! Binafsi ingawaje natumia Azam lakini series zote hizo hakuna hata moja ninayoifahamu, na nikiona tamthilia au content yoyote haiendani na Mafundisho ya Mwokozi, ninachofanya ni kutupa kule bila kumlalamikia yeyote kwa sababu hakuna ambae alinilzamisha!
 
Back
Top Bottom