Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Dah wekezeni msiibe ela serikalini mkanunulia still na masherehe out that utatumia bidha ukitaka usitake ukiwa mzima aunumekufa
tuwekeze wapi??
wapi ambako hatupo??

wizi kila mtu anaiba,hata huyo unayeamini ni uislam umemtajitisha humjui kama tunavyomjua wengine.
 
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2

Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.

Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.

Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
  • Ertugrul
  • Ottoman
  • Barbarossa na Sasa ni hii
  • Alpasalani
Zote hizi maudhui ni yaleyale.

Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.

Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.

Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.

Mnakera bwana aah!
Ila Mwamba izo Tamthilia achana nazo ww ingia Upendo TV au TBC 1 pale hutaona mambo ya udini.
 
Una fikra zenye mipaka sana, wafanyabiashara wangekuwa na mawazo kama yako hakuna kitu wangefanya
Hizo ni historian za vita vya zamani vya Waturuki sawa na za Kichina utaona ma Shaolin Temple monks wanawatwanga watu wa Imani nyingine ni historia na kama zinakukera hapo Azam Kuna chanel za Tumaini, Upendo, Arise and Shine,WRM, Hope , Jehovah Jire za dini za Kikristo si ungalie huko.
Ukiacha kulipia king'amuzi cha Azam itakuwa na impact gani?
 
Ila Mwamba izo Tamthilia achana nazo ww ingia Upendo TV au TBC 1 pale hutaona mambo ya udini.
Haya mambo hayako hivyo na ndo maana kama taifa tuna kizazi cha hovyo kwa kupuuza kila jambo tukiaminu hayatuhusu nwishowe tunaongozwa na watu kama mwigulu nchemba
 
Mtoa mada atakuwa anapenda kuukalia wa papa

Hiki ni nini?
Sawa na Mimi kusema Muhammad karuhusu kufanya zinaa na watoto na kauahalalisha umalaya

Sio haki
 
We atheist gani unashindwa kupambanua mambo vizuri??
Waturuki ni waislam majority na maudhui yao lazima yapendelee upande huo. Sasa kuleta content kama hizo katika nchi yenye dini nyingi kama hii yetu unadhani ni sahihi ???
Kwa nini hazilalamikiwi tamthilia za nchi nyingine ila wao tu kila siku??
Hiki hasa ndo nachomaanisha ila watoto wa mwamedi wanakaza makomwe tu
 
Angalia upo nchi gani. Hii ni Tanzania na sio India.
Dini ni influencial Kwa wale wanaoiamini. This is Tanzania yenye waislam na wakristo Kwa wingi,hayo mambo ya wahindu ni nothing to us. Tatizo ni pale zinapoguswa zinazotuhusu.
Shida sio uhindu wala ubudha shida kuonesha umma Imani yako ni Bora kuliko wengine na wengine ni dhalimu hapa ndo dosari inapoanzia hasa kwenye jamii yenye imani tofauti
 
Angalia upo nchi gani. Hii ni Tanzania na sio India.
Dini ni influencial Kwa wale wanaoiamini. This is Tanzania yenye waislam na wakristo Kwa wingi,hayo mambo ya wahindu ni nothing to us. Tatizo ni pale zinapoguswa zinazotuhusu.
mnakuza mambo
 
Hapana, azam ni wafanya biashara na tv lazima itafute content ambayo wanaimudu ki gharama na muendelezo imetokea kwamba wamiliki wa azam wanaukaribu na channel au kampuni fulani ya kituruki wasichangamkie fursa? Endapo kama hata bongo movie na tamthiliya za kiswahili zingekuwa na maudhui hayo hapo ingekuwa na hoja.

Pia mbona kuna tamthiliya za kikorea pia? Ni kweli waturuki ni waislam na si dhambi kwa mfanyabiashara wa dini fulani kupigia debe maudhui ya dini yake,
Afadhali ungelalamika azam tv kutumia nguvu nyingi kuinadi timu au bidhaa zao . Mimi naona wapo sahihi katika ulimwengu wa movie wamerekani na wazungu wasio waislam ndio wametawala sana ndio maana sinema zenye maudhui ya kiislam kutoka azam unaona kama zina ukakasi
Na ndio mana channels zipo nyingi ukiona hii haifai chagua nyingine
 
Azam media Main Objective: Kuuodogosha Ukristo na kuukuza Uislam kupitia michezo na tamthilia za Kituruki (Ottoman empire vis Crusaders)
 
Watanzania wengi huwa tunalalamikia udini lakini sisi ndo wadini wa kwanza.
Kuna kipindi nchi kwetu kwenye tv tamthilia nyingi ni za kifilipino na spanish/mexico hakukua na kelele, lakini sasahivi tamthilia nyingi ni kihindi na kituruki. Sasa hapa ndo kwenye shida mbona kelele za uhindu hakuna? Zipo kwenye hizi za kituruki🤣? Tolerance wakuu

Hapa sijaweka kabisa bongo movie mambo ya kina mtitu g game. "In God We Trust"

Ni sawa na ucheki historical korean series na ulalamike budhisim au confucianism

UVumilivu muhimu wakuu
Umeandika madini kijana...
 
Back
Top Bottom