Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

wakati mwingine njia bora ya kumwepuka mtu mjinga ni kukaa mbali naye.

binafsi huwa sioni mantiki ya kuingia ndani ya nyumba ya mtu halafu kuanza kupambana na ujinga uliopo ndani ya nyumba yake,mwache nao angalia mitikasi yako.

sio azam tu peke yake,ndugu zetu ktk imani huwa hawana utamaduni wa kutambua au kuheshimu imani nyingine,labd andivyo walivyofundishwa,suluhisho ni kutotumia bidhaa zao kabisa.sio kugome,hapana ni kujiepusha na makasiriko madogo madogo.
Dah wekezeni msiibe ela serikalini mkanunulia still na masherehe out that utatumia bidha ukitaka usitake ukiwa mzima aunumekufa
 
Walikufuata nyumbani ama walikushikia risasi ununue king'amuzi chao???
wacha manung'uniko ewe mtanzania, ving'amuzi viko vingi sana kurupuka.

Hallelujah!!!
Nilidhani utanzania kwanza kumbe mwenye kisimbuzi ana vipaumbele vyake
 
Je ni kweli hao wakristu na wapagani walikuwa ni wabaya sana hata kuhusisha na imani ndani yake
Askari wa vita vya msalaba walikua peku,hawajui kusoma na kuandika,wezi/waporaji,wauaji wa wanawake na watoto
 
Askari wa vita vya msalaba walikua peku,hawajui kusoma na kuandika,wezi/waporaji,wauaji wa wanawake na watoto
Cheki hii chuki angalau Haina ushahidi kama ule ulioainishwa katika kuluwani na Hadith
 
Cheki hii chuki angalau Haina ushahidi kama ule ulioainishwa katika kuluwani na Hadith
Tatizo lenu hampendi kusoma

How were the Crusades bad?


Enflamed by hate-filled sermons, Crusaders massacred Jewish communities in Europe on their way to the Middle East and sacked and murdered some of the Christian communities they found in the Levant as well.24 Feb 2011

World Edition - The Atlantic › archive

Hey,

Hiyo ni kidogo tu,sasa tafuta mwenyewe zaidi​

 
Hebu soma suratul baqarah ndo ujue kwanini ikaja crusade
Tatizo lenu hampendi kusoma

How were the Crusades bad?


Enflamed by hate-filled sermons, Crusaders massacred Jewish communities in Europe on their way to the Middle East and sacked and murdered some of the Christian communities they found in the Levant as well.24 Feb 2011

World Edition - The Atlantic › archive

Hey,

Hiyo ni kidogo tu,sasa tafuta mwenyewe zaidi​

 
Kwanini unanielekeza nikajifunze kwa mtu mmoja unayemjua wewe wakati historia iko wazi?
Crusade sio historia ya kujificha ina vyanzo lukuki
Sababu kuna utofauti kujifunza kwa Layman na kwa proffesional, unaweza weka mtu wa level ya Roy professor wa Historia ambaye anasema otherwise?
 
naona kama azam wamewalenga watanzania wa hali ya chini kama wateja wao wakuu

tamthilia za kituruki ndo zinawafaa kwasababu sio ngumu kuelewa, mara nyingi ni mambo ya mapenzi tu na migogoro ya familia

ndo maana tamthilia za kihindi na kikorea zinapendwa sana pia, sio issue ya dini ni issue ya kuwapa wateja kitu wanataka
We atheist gani unashindwa kupambanua mambo vizuri??
Waturuki ni waislam majority na maudhui yao lazima yapendelee upande huo. Sasa kuleta content kama hizo katika nchi yenye dini nyingi kama hii yetu unadhani ni sahihi ???
Kwa nini hazilalamikiwi tamthilia za nchi nyingine ila wao tu kila siku??
 
Watanzania wengi huwa tunalalamikia udini lakini sisi ndo wadini wa kwanza.
Kuna kipindi nchi kwetu kwenye tv tamthilia nyingi ni za kifilipino na spanish/mexico hakukua na kelele, lakini sasahivi tamthilia nyingi ni kihindi na kituruki. Sasa hapa ndo kwenye shida mbona kelele za uhindu hakuna? Zipo kwenye hizi za kituruki🤣? Tolerance wakuu

Hapa sijaweka kabisa bongo movie mambo ya kina mtitu g game. "In God We Trust"

Ni sawa na ucheki historical korean series na ulalamike budhisim au confucianism

UVumilivu muhimu wakuu
Angalia upo nchi gani. Hii ni Tanzania na sio India.
Dini ni influencial Kwa wale wanaoiamini. This is Tanzania yenye waislam na wakristo Kwa wingi,hayo mambo ya wahindu ni nothing to us. Tatizo ni pale zinapoguswa zinazotuhusu.
 
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2

Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.

Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.

Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
  • Ertugrul
  • Ottoman
  • Barbarossa na Sasa ni hii
  • Alpasalani
Zote hizi maudhui ni yaleyale.

Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.

Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.

Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.

Mnakera bwana aah!
Hizo ni historian za vita vya zamani vya Waturuki sawa na za Kichina utaona ma Shaolin Temple monks wanawatwanga watu wa Imani nyingine ni historia na kama zinakukera hapo Azam Kuna chanel za Tumaini, Upendo, Arise and Shine,WRM, Hope , Jehovah Jire za dini za Kikristo si ungalie huko.
Ukiacha kulipia king'amuzi cha Azam itakuwa na impact gani?
 
Back
Top Bottom