Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Safi sana mama na hiyo migalatia iko mingi kweli sijui nani iliwaloga
Unakuta mgalatia nae anakenua mdomo na kukodoa macho from saa nne mpaka saa tano..nilishawakataza wanangu kuangalia hizo tamthilia zao za mapanga shwaaa..na za kidini hazimfundishi mtt wa kikristu lolote...
 
Achana na tamthilia tazama vipindi vingine
Usiwapangie watu , huwezi nunua Star times
Wanatuharibia familia zetu ambazo ni Imani tofauti na wao

Hata hivyo wikendi nanunua startimes
 
Crusade ni zao la caliphate
Nadhani unaelewa nikisema caliphate
Unamaanisha crusaders sio? Waliua pia wakristo, na ile ni historia ya kweli, crusader ni kama unavyoona Nazi, Fascists ama Zionism ni movement tu za watu weupe ambao walikua wakijiona superior na wana haki ya kutawala dunia, na wengine si viumbe vikamilifu.
 
wakati mwingine njia bora ya kumwepuka mtu mjinga ni kukaa mbali naye.

binafsi huwa sioni mantiki ya kuingia ndani ya nyumba ya mtu halafu kuanza kupambana na ujinga uliopo ndani ya nyumba yake,mwache nao angalia mitikasi yako.

sio azam tu peke yake,ndugu zetu ktk imani huwa hawana utamaduni wa kutambua au kuheshimu imani nyingine,labd andivyo walivyofundishwa,suluhisho ni kutotumia bidhaa zao kabisa.sio kugome,hapana ni kujiepusha na makasiriko madogo madogo.
📌🔨
Nikija kunun7a kisimbuzi cha Azam niitwe woo woo 🐕 🐕 yaani labda wajirekebishe
 
Mm n mkristo lakin nilikuwa naipenda sana ottoman mpaka Leo napenda kufatilia mana n story ya kweli
Hilo linajulikana ni stori ya kweli ndiyo lakini mule Kuna chumvi nyingi saaaana yaani wanaonesha watu wa ottoman walikuwa wasafi sana halafu wabizantini (wakristu )ni mashetani na kila movement ilikuwa ni ya kishenzi kwa upande wa wakristu ila waislamu ndo ilikuwa haki
Wangeelezea matukio halisi basi sio kukandamiza upande mmoja na kuunyanya mwingine mbona historia iko wazi Dunia nzima
 
wagalatia bana, kwahio mkuu umeona dada wa kiislmau kashika panga anakata vichwa wagalatia wenzio umehuzunika sana
Ulionaga wapi zaidi ya Azam
Mwanamke moja anaua wanaume ishirini tutumie logic tu
 
Hilo linajulikana ni stori ya kweli ndiyo lakini mule Kuna chumvi nyingi saaaana yaani wanaonesha watu wa ottoman walikuwa wasafi sana halafu wabizantini (wakristu )ni mashetani na kila movement ilikuwa ni ya kishenzi kwa upande wa wakristu ila waislamu ndo ilikuwa haki
Wangeelezea matukio halisi basi sio kukandamiza upande mmoja na kuunyanya mwingine mbona historia iko wazi Dunia nzima
Huwa siku zote nashauri watu Soma historia kwa wana Historia, Kajifunze Historia ya Crusaders kwa Roy Casagranda proffesor wa Historia Middle East chuo cha Austin Texas Marekani.


View: https://m.youtube.com/watch?v=c6c5W2RsvkE

Anzia hapo Lecture nzima.

Crusaders walikua wachafu kuna tafiti kibao zinaonesha walikua wananuka, ukisoma historia walikua Wakienda Ottoman kitu cha kwanza kabla ya kukutana na viongozi wanapelekwa bafuni kuogeshwa (sio utani ni proved history), jamaa walikua ni Barbarian tu wakiingia kwenye mji wanaua tu wanawake watoto mifugo chochote kilicho mbele yao wanaua, walikua wanaua hadi wakristo wenzao wa Middle East.
 
Kingamuzi ulipie mwenyewe remote ushike mwenyewe kuchagua kuangalia Chanel moja kati ya chanel zaid ya 100 kisha unawalaumu Azam jaribu kuwa serious mkuu.
 
Ukweli napenda sana tamthilia zenye maidhui kama yale nilianza kipindi cha akina Jumong, lakini kitu napenda kwenye hizi tamthilia ni vile hawa Waisilamu wanavyo mtanguliza Mungu na imani yao, ila ukweli ni kwamba Wakristu tunamtanguliza Mungu katika mambo yetu yote hivyo hiyo Azam TV sio salama kwa Mkristu hasa mwenye familia, watoto wako watakua wakijua anaetakiwa kusali na kumtanguliza Mungu ni Muslims pekee na yeye ni dhaifu na mwanaharamu, ni muda wa kuamka na kuachana na television zinazoeneza imani potofu miongoni mwetu na nyumbani kwetu.
 
Back
Top Bottom