Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2

Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.

Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.

Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
  • Ertugrul
  • Ottoman
  • Barbarossa na Sasa ni hii
  • Alpasalani
Zote hizi maudhui ni yaleyale.

Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.

Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.

Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.

Mnakera bwana aah!
Channel mbona zipo nyingi. Weka ya mpira mkuu. Mambo mengine hayahitaji kutumia nguvu
 
Tanzania hatuna mambo ya udini why wao waelemee upande mmoja? Tatizo la wabongo ndio hili, mtu ukikosoa kwa lengo zuri unaonekana una chuki.
Hujawahi kupanda gari ukakuta wanapiga kwaya tu, kaswida au mawaidha?
Hujawahi kupanda gari ukaona mchungaji ameingia anahuburi na kukusanya sadaka??
 
Hujawahi kupanda gari ukakuta wanapiga kwaya tu, kaswida au mawaidha?
Hujawahi kupanda gari ukaona mchungaji ameingia anahuburi na kukusanya sadaka??
Ile ni media, inatazamwa na watu kote nchini, usifananishe na stori za kijiweni cha watu kumi
 
Yaani vitu vingine ni simple kweli kweli, unaacha tu vipite maana kama ni suala la dini zipo chaneli nyingi za dini labda ya kikristo etc...tunakuza mambo tu ambayo yanapelekea tuonekane wadini.
 
kwa kweli sijui ni kwanini wanapenda sana maudhui ya udini, ila hilo swala wanatakiwa walifanyie kazi.. with time haya mambo yanachosha aisee
We ujui kama tz Waislam ndio wengi kuliko Makafiri?
 
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2

Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala mwingine inaonesha huo utawala una Ukristu maana askari wake wana misalaba kwenye mavazi yao.

Sasa hawa askari aisee ni midebwedo vibaya mno yaani mwanamke moja anaua infidels (humo wanaita wadhalimu) zaidi ya 20 mbele ya kiongozi wao halafu Yuko pekeake na bado anaendelea kusurvive!? Duuuh ina maana hao ni wanyonge kiasi hiko? Halafu mule inaonesha waislamu ni watu wema sana na wakristu ni watu wenye Roho mbaya mno na hii chanel secular ila inabagua Imani moja na kuipendelea ingine.

Ututuki ni nchi ambayo raia wake wengi ni waislamu hivyo ni sawa kuwa na maudhui kama Yale, Sasa Tanzania hii ni multi religion county huwezi kuwa na maudhui hayo hayo tu kila siku ya kukandamiza Imani moja na kuipendelea ingine kulikuwa na;
  • Ertugrul
  • Ottoman
  • Barbarossa na Sasa ni hii
  • Alpasalani
Zote hizi maudhui ni yaleyale.

Azam tv badilikeni, hela tunalipa sisi lakini mnatutibua nyingi makusudi kabisa.

Na huu mwezi nitaacha kulipia hiki kisimbuzi kama ni ligi kuu nitaangalia bandani na kisimbuzi nitanunua cha startimes.

Azam tv mjifunze kwa wenzenu, mbona wao wanajua mipaka yao.

Mnakera bwana aah!
Fedha yako isikutese angalia upande mwingine hao wapo tezee ndiyo maana Li timu Lao kila siku linafugwa.
 
Shida Iko kwa TFF,
Hawakuzingatia Secularism,
Azam hawakustahili kushinda tender ile ili wapitishe maudhui.

Usilipimie Huduma isiyozingatia SECULARISM, unajikeraje Kwa pesa Yako?!
Dunia Haina Dini,
Mungu haisaidiwi, Mungu anajiweza!
 
Hiyo ni historia ya uturuyna mapambano yao, ilikua dhidi ya wapagani na dhidi ya wakristu
Je ni kweli hao wakristu na wapagani walikuwa ni wabaya sana hata kuhusisha na imani ndani yake
 
Kwanini unanielekeza nikajifunze kwa mtu mmoja unayemjua wewe wakati historia iko wazi?
Crusade sio historia ya kujificha ina vyanzo lukuki
Huwa siku zote nashauri watu Soma historia kwa wana Historia, Kajifunze Historia ya Crusaders kwa Roy Casagranda proffesor wa Historia Middle East chuo cha Austin Texas Marekani.

View: https://m.youtube.com/watch?v=c6c5W2RsvkE

Anzia hapo Lecture nzima.

Crusaders walikua wachafu kuna tafiti kibao zinaonesha walikua wananuka, ukisoma historia walikua Wakienda Ottoman kitu cha kwanza kabla ya kukutana na viongozi wanapelekwa bafuni kuogeshwa (sio utani ni proved history), jamaa walikua ni Barbarian tu wakiingia kwenye mji wanaua tu wanawake watoto mifugo chochote kilicho mbele yao wanaua, walikua wanaua hadi wakristo wenzao wa Middle East.
 
Kingamuzi ulipie mwenyewe remote ushike mwenyewe kuchagua kuangalia Chanel moja kati ya chanel zaid ya 100 kisha unawalaumu Azam jaribu kuwa serious mkuu.
Sidhani kama una uelewa na unachokisema
TCRA inapofungia maudhui Fulani ina maana hakuna maudhui mengine ambayo watu wanaweza kuyafuatilia?

Hebu panua uwezo wa kifikiri
 
Je ni kweli hao wakristu na wapagani walikuwa ni wabaya sana hata kuhusisha na imani ndani yake
Sio walikuwa tu Bali mpk hv Sasa makafir ni viumbe waovu,we angalia hata sehemu walizo kwa wingi Kama mbeya,Arusha,Moshi,Njombe ndio kwenye matukio ya hovyo ya mauaji,ubakaji,ulawiti,ukimwi,kupigana nondo na kila Aina ya uovu
 
Walikufuata nyumbani ama walikushikia risasi ununue king'amuzi chao???
wacha manung'uniko ewe mtanzania, ving'amuzi viko vingi sana kurupuka.

Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom