Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini


Kwanini Muhammad Ali hajafanyiwa epic movie ndefu kama ya Godfather I ya masaa manne lakini pia ikafanyika Godfather II n.k Je ni kwa sababu ni weusi au ni nini nyuma ya hali hii kutokea watu mashuhuri weusi kutotengenezewa series au kuoneshwa series zao ?

TOKA MAKTABA:
2013 15 Julai
Mshairi mashuhuri Nikki Giovanni anazungumza kuhusu Muhammad Ali na Malcolm X.


View: https://m.youtube.com/watch?v=zp-uFFVtTCANikki Giovanni kwenye The Rock Newman Show. Anazungumza kuhusu umuhimu wao na jinsi walivyokuwa wakubwa kuliko maisha wakati wa ziara yake kwenye The Rock Newman Show @ Busboy na Poets 14th & V Sts. NW Washington DC Tazama Kipindi cha Rock Newman kila Jumamosi 9am hadi Adhuhuri (
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…