Azam TV haina uwezo wa kifedha kuonesha Kombe la Dunia?

Ukipewa leseni haupeleki Camera quatar..kampuni iliyoshinda tenda ya kufunga Camera ni moja tu na kutokea hapo vituo vyote Duniani vinachukua matangazo
Sasa kwani unadhani mitambo itachukuaje matangazo kwenye
Kama ameshindwa kupandisha content resolution kutoka 720p mpaka 1080 ataweza kurusha kombe la dunia.? Azam TV ni ya watu maskini na wavaa makobazi.😎
Mkuu umemaliza Kila kitu. Uzi ufungwe Sasa
 
Hebu ielezee na TBC kidogo!
 
Acha uchawi,Azam kibongobongo anajitahidi sana,hakuna TV station bongo inayoweza kuonyesha ligi yetu kwa viwango na weledi kama Azam.
Kuhusu kombe la dunia huonyeshi bila kuwa na haki,kupata hiyo haki ni kazi
Huyo snitch tu! Hajui hata Rwanda, Burundi na Uganda zote ligi zao zimeanza kuoneshwa kwenye tv baada ya azam kwenda uko! Anataka afananishe azam na nani hapa bongo tbc ya azuhuri???[emoji28]
 
Namba 2 nakupinga, Dstv haipo afrika nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…