Azam TV haina uwezo wa kifedha kuonesha Kombe la Dunia?

Azam TV haina uwezo wa kifedha kuonesha Kombe la Dunia?

Acha uchawi,Azam kibongobongo anajitahidi sana,hakuna TV station bongo inayoweza kuonyesha ligi yetu kwa viwango na weledi kama Azam.
Kuhusu kombe la dunia huonyeshi bila kuwa na haki,kupata hiyo haki ni kazi
Tatizo lako unachoona Bora wewe unataka Kila mmoja akione Bora mkuu, haiwezi ikawa. Kila mwenye Akili timamu anajua resolution ya Azam ni mbovu.
 
Huyo snitch tu! Hajui hata Rwanda, Burundi na Uganda zote ligi zao zimeanza kuoneshwa kwenye tv baada ya azam kwenda uko! Anataka afananishe azam na nani hapa bongo tbc ya azuhuri???[emoji28]
Azam haoneshi tena ligi za hizo nchi
 
Wamekidhi vigezo. Nitajie king'amuzi kinacho-operate katika nchi zaidi ya 16 africa
hoja ilikuwa bara lote la africa, umeibuka na hoja nyingine. kwa kuwa wewe ni mjuaji unaweza kujijibu mwenyewe
 
Nadhani uwezo wa kushindana na kununua wanao....nadhani wametathmini hali ya soko na ushindani na gharama za kununua alafu ni jambo la muda mfupi wameona halina faida.......


Ni mtizamo wangu tu......
HILO NDILO HASWA...

TATIZO WENGI WANASHINDWA KUFIKIRI KUPITIA UPANDE WA MTOA HUDUMA... WANAJIFIKIA WAO TU WAHUDUMIWA.

KWENYE MARKETING POINT OF VIEW... HIYO KITU NI GHARAMA SANA KUINUNUA HAKI ZAKE... KIASI KWAMBA ILI NA WEWE UWEZE KUUZA NA KUPATA FAIDA... INAHITAJI UBADILI HATA BEI YA PACKAGES ZAKO... NA VILEVILE UWE NA UHAKIKA WA SOKO LA KURUDISHA FAIDA... VILEVILE UNAPIMA MUDA WA KUFANYA BIASHARA(SHORT TERM DURATION OF AN OPPORTUNITY) HAUTOATHIRI LONG TERM CONDITION OF YOUR NORMAL BUSINESS.

SASA APANDISHE BEI VIFURUSHI KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA... SI ANATAKA ALIUE SOKO LAKE.
 
Yaani mashirika ya serikali yote yanazingua sana kwenye huduma, sijui wafanyakazi sio wazalendo yaani creativity zero!
Ni kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo...

Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma.

Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie ama usiangalie wao wana uhakika wa mshahara.

Mimi ningekuwa rais... Mashirika yote ya serikali ambayo yanauza ama kutoa huduma kwa watu... Yawe yanajitegemea kila kitu kama yalivyo mashirika binafsi... Yaani hata mishahara yao itokane na kile wanachouza. Mfano TANESCO, DAWASCO... Utalipwa mshahara kulingana na mauzo kampuni imeingiza kwa mwezi husika.

Posho yako itategemea na umefanya kazi gani... Mfano Tanesco... Posho itategemea wateja waliokuja kuomba huduma wakalipia na ukawahudumia haraka na kwa uzuri wa kuridhisha.

Ukiwa mzembe hupati kitu.
 
Back
Top Bottom