Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

Emanuel Alfred

New Member
Joined
May 11, 2024
Posts
3
Reaction score
5
Azam tv kwema,

Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi kama za laliga bundasliga na Seria a zinaonyeshwa kwa kifurushi Cha sh 17000/ but Azam mnaonyesha ligi hizohizo kwa sh 28000 niuonevu kwa wateja wenu tunaomba mshushe bei zenu.

Pia soma:
 
Azam tv kwema hamtutendei haki watumiaji wa visimbuz vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi kama za laliga bundasliga na
Seria a zinaonyeshwa kwa kifurushi Cha sh 17000/ but Azam mnaonyesha ligi hizohizo kwa sh 28000 niuonevu kwa wateja wenu tunaomba mshushe bei zenu
Jana kuna walioomba iwe bure. Serikali sijui kama ilisikia au lah
 
Back
Top Bottom