Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

Wachuje ili iweje? Kama mnaona mayele anawachafua basi jisafisheni kutumia azam hiyohiyo, na clouds waliwachafua kwa kumuhoji feisal
Kwa Nini Azam wanafuta wakati ni ukweli mtupu
 
Kwahy na ww tena unaniuliza swali.?
Kwenye kufuta kuna mambo mengi ndani yake ila sio kwamba kilichoongelewa n uongo, na ht kama ni uongo bc huo uongo n kutoka kwa mayele na sio Azam. Yanga waache kuwafanyia unyama wachezaji wao.
Sasa wewe si ndiyo unatetea upuuzi
 
Wachuje ili iweje? Kama mnaona mayele anawachafua basi jisafisheni kutumia azam hiyohiyo, na clouds waliwachafua kwa kumuhoji feisal
Ujue Yanga atambana Azam kumtaka kufuta content zote zinazomchafua kwa sababu Azam ndie mshirika wake tofauti na media zingine wao wanarusha tuu.
 
Muuliza maswali hakuwa professional, alikuwa anaonekana kumuongoza Mayele kuongea aliyoyaongea, hivyo Mayele kuonekana kama vile anatumika tu.
 
Mayele mpira umemshinda anaungana na wenzake wa azam na simba kuinanga Yanga.
 
Simba mnasahau kujadili yenu mnajikita kujadili mambo ya Yanga.
Mmeshasahau kipigo cha Mashujaa Fc na sasa mmepata jambo la kujifariji.
Mmeishiwa, mitandaoni hamuuziki hata kwa mkopo kilichobaki ni kushabikia mambo haya.

Daima Yanga tupo imara na tarehe 20 tutawatwanga ili kuwazima kabisa mtafute jambo jingine.

Viongozi wetu wa Yangu hili suala si la kuishia kutoa onyo tu la kufuta video husika bali ichukue hatua stahiki katika dhihaka hii ya kuichafua taasisi hii.
 
Muuliza maswali hakuwa professional, alikuwa anaonekana kumuongoza Mayele kuongea aliyoyaongea, hivyo Mayele kuonekana kama vile anatumika tu.
Haina TOFAUTI na interview ya Feisal Salumu alipofanyiwa na masudi kipanya
 
Hao wachezaji hawana elimu kipi aongee kipi aache.
Young Africans ni taasisi
Team nyingine makini haziwezi kumsajili mchezaji mbumbumbu kama mayele, taasisi ni kama familia,
Huwezi kuchafua familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…