Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Jamani, ni aibu kwa Azam kivp wakati aliyeongea ni mayele.? Kwahy TBC wangemuhoji mayele mngesema ni aibu kwa TBC.?Azam wamefuta ila hii ni aibu kwao kama media kubwa tz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, ni aibu kwa Azam kivp wakati aliyeongea ni mayele.? Kwahy TBC wangemuhoji mayele mngesema ni aibu kwa TBC.?Azam wamefuta ila hii ni aibu kwao kama media kubwa tz.
🔨Bongo watu wanachukua ukweli kwa kiwango cha juu
Itakua ni yule mzanzibari mwenzao feitoto ndio kapeleka chuki kule.Azam wana chuki kali kwa Yanga
Simaanishi ni aibu kwa kumhoji bali kwa kufuta hayo maudhui baada ya kuibua kelele mitandaoni. Wana wataalam waliobobea, walifanya hiyo interview yanini, mimi siwaoni kama wana makosa maana ni kazi yao.Jamani, ni aibu kwa Azam kivp wakati aliyeongea ni mayele.? Kwahy TBC wangemuhoji mayele mngesema ni aibu kwa TBC.?
Azam wanajitegemea Yanga, kuliko Yanga wanavyoitegemea Azam.Wachuje ili iweje? Kama mnaona mayele anawachafua basi jisafisheni kutumia azam hiyohiyo, na clouds waliwachafua kwa kumuhoji feisal
Unaelewa kama Azam Wana mkataba na Yanga?Simaanishi ni aibu kwa kumhoji bali kwa kufuta hayo maudhui baada ya kuibua kelele mitandaoni. Wana wataalam waliobobea, walifanya hiyo interview yanini, mimi siwaoni kama wana makosa maana ni kazi yao.
Siwezi kusema Kama ni ukweli au uongo Ila ninachoamini Mayele katumika kuichafua Yanga ScMm nataka kujua, alichoongea mayele ni kweli au uongo.?
Ukiona wamefuta ujue sio kwa sababu za kelele za mitandao bali ni Yanga wamewaambia wafute.Simaanishi ni aibu kwa kumhoji bali kwa kufuta hayo maudhui baada ya kuibua kelele mitandaoni. Wana wataalam waliobobea, walifanya hiyo interview yanini, mimi siwaoni kama wana makosa maana ni kazi yao.
Mayele angeisifia Yanga mngelalamika hiv hiv ?Siwezi kusema Kama ni ukweli au uongo Ila ninachoamini Mayele katumika kuichafua Yanga Sc
Kama hujui bc tulia ufurahie kuangalia mechi za Yanga kupitia Azam Tv na sio vinginevyo, hayo mengine waachien Azam Tv na Yanga watajua la kufanya.Siwezi kusema Kama ni ukweli au uongo Ila ninachoamini Mayele katumika kuichafua Yanga Sc
Raia hawataki kusikia ukweli 😂Mayele angeisifia Yanga mngelalamika hiv hiv ?
Hili sio kosa mana mara zote wakisafiri hua wanafanya vipindi tofauti na kile walichokifata. Mfano kuna vipindi vingi vya mikoani hua vinafanywa wakati wafanyakazi wakiwa wameenda kufanya mechi za mikoani.Mtangazaji wao ambaye ni shabiki wa Simba, alipelekea Cairo Kwa ajili ya mechi ya Simba na si kufanya interview na Mayele.
Kwa sababu wengi akili zenu humu ni ndogo, hamjuwi Kwa interview hiyo Azam inajihujumu yenyewe.Hili sio kosa mana mara zote wakisafiri hua wanafanya vipindi tofauti na kile walichokifata. Mfano kuna vipindi vingi vya mikoani hua vinafanywa wakati wafanyakazi wakiwa wameenda kufanya mechi za mikoani.
Ni bc tuu hii interview imewachoma wanayanga ndio mana unaona kelele nyingi mjini.
Bongo watu wa ajabu sana mlitaka asifie asiseme ukweli huo ndio mpira wa bongo halisi timu inatumia pesa nyingi za usajili halafu inaamini uchawi na kununua mechi ujiulize pia viongozi wamemfanya nini kwanini ghafla amekua anaidhalilisha klabu!Kituo cha Habari cha Azam TV kimefuta mahojiano waliyofanya na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii baada ya klabu ya Yanga kuripotiwa kuitaka Azam TV kufanya hivyo.
Mahojiano hayo yaliyonukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini yalijikita katika kuichafua klabu ya Yanga pamoja na mpira wa Tanzania kiujumla na kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuasi wa soka.
Azam Media wanapaswa kujitokeza hadharani na kuomba Radhi kwa upuuzi walioufanya kwani wamechafua taasisi na tasnia ya mpira wetu huu kwa ujumla.
Ukisikiliza interview ya Fiston kalala Mayele imejaa kashifa ya udhalilishaji wa viongozi pamoja na ligi yetu kwa jumla lakini Azam media bila kujali/kuchuja wameipost.
Maoni Yangu: Endapo Azam media wasipoomba Radhi mashabiki wa Yanga na viongozi pamoja na wadau wa mpira basi itafahamika kuwa Azam media watakua wametumika kuichafua Yanga Sc na mpira wetu kwa ujumla.
Sasa wewe mtu anaichafua timu Tena kwa tuhuma za Majini wew unaona huyo mtu yupo sawa?!?!Kama hujui bc tulia ufurahie kuangalia mechi za Yanga kupitia Azam Tv na sio vinginevyo, hayo mengine waachien Azam Tv na Yanga watajua la kufanya.
Ukweli gani mzee Kama ni ukweli mbona hao Azam wamefuta Kama wao wanaona ni sahihiBongo watu wa ajabu sana mlitaka asifie asiseme ukweli huo ndio mpira wa bongo halisi timu inatumia pesa nyingi za usajili halafu inaamini uchawi na kununua mechi ujiulize pia viongozi wamemfanya nini kwanini ghafla amekua anaidhalilisha klabu!
Bro, hv unajua Azam anaingiza sh ngapi kupitia Yanga.?Ukweli gani mzee Kama ni ukweli mbona hao Azam wamefuta Kama wao wanaona ni sahihi
Kuhusu majini mm cjui ila nachojua n mayele kuumwa baada ya mechi ya Dodoma jiji na hapo ni baada ya viongozi wa Yanga kupata fununu za mayele kuondoka.Sasa wewe mtu anaichafua timu Tena kwa tuhuma za Majini wew unaona huyo mtu yupo sawa?!?!
Jitafakari jamaa yangu
Ukweli kwenye nini wewe quuumaAlichoongea n kweli au sio kweli.? Tuanzie hapo.
Napendaga Sana matusi kama haya tena ambapo sijamkosea mtu ila yeye anaanza kunitukana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ukweli kwenye nini wewe quuuma