Kuhusu majini mm cjui ila nachojua n mayele kuumwa baada ya mechi ya Dodoma jiji na hapo ni baada ya viongozi wa Yanga kupata fununu za mayele kuondoka.
Kwa hapa bongo amesema alienda kwa mwamposa na akapata ahueni Oya ww
NALIA NGWENA hivi umemuelewa mayele hapo.? Na pia alienda kwao Congo na huko hakusema alienda kufanya nn, bro
NALIA NGWENA hv unaelewa au unaendekeza mapenzi yako kwa Yanga.? Viongozi wa Yanga na nyie mashabiki mlipata taarifa ya kusign mkataba tuu na siku inayofuata akaumwa tena na kurudi Tz na Congo
NALIA NGWENA hiv unaelewa.?