Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

Jamani, ni aibu kwa Azam kivp wakati aliyeongea ni mayele.? Kwahy TBC wangemuhoji mayele mngesema ni aibu kwa TBC.?
Simaanishi ni aibu kwa kumhoji bali kwa kufuta hayo maudhui baada ya kuibua kelele mitandaoni. Wana wataalam waliobobea, walifanya hiyo interview yanini, mimi siwaoni kama wana makosa maana ni kazi yao.
 
Wachuje ili iweje? Kama mnaona mayele anawachafua basi jisafisheni kutumia azam hiyohiyo, na clouds waliwachafua kwa kumuhoji feisal
Azam wanajitegemea Yanga, kuliko Yanga wanavyoitegemea Azam.

Content za Yanga ni pesa Kwa Azam, nadhani hapo Azam wamuwajibishe Mtangazaji wao ambaye ni shabiki wa Simba, alipelekea Cairo Kwa ajili ya mechi ya Simba na si kufanya interview na Mayele.

Hawa wababaishaji waliojaa kwenye media ndio tatizo kama huyu Nyembela ujuwaji mwingi.
 
Simaanishi ni aibu kwa kumhoji bali kwa kufuta hayo maudhui baada ya kuibua kelele mitandaoni. Wana wataalam waliobobea, walifanya hiyo interview yanini, mimi siwaoni kama wana makosa maana ni kazi yao.
Unaelewa kama Azam Wana mkataba na Yanga?

Ukiishusha brand ya Yanga ni hasara Kwa Azam.

Sasa Azam imeajiri vibaka ambao hawajui Azam ana maslahi na Yanga na siyo na Mayele.
 
Simaanishi ni aibu kwa kumhoji bali kwa kufuta hayo maudhui baada ya kuibua kelele mitandaoni. Wana wataalam waliobobea, walifanya hiyo interview yanini, mimi siwaoni kama wana makosa maana ni kazi yao.
Ukiona wamefuta ujue sio kwa sababu za kelele za mitandao bali ni Yanga wamewaambia wafute.
 
Siwezi kusema Kama ni ukweli au uongo Ila ninachoamini Mayele katumika kuichafua Yanga Sc
Kama hujui bc tulia ufurahie kuangalia mechi za Yanga kupitia Azam Tv na sio vinginevyo, hayo mengine waachien Azam Tv na Yanga watajua la kufanya.
 
Mtangazaji wao ambaye ni shabiki wa Simba, alipelekea Cairo Kwa ajili ya mechi ya Simba na si kufanya interview na Mayele.
Hili sio kosa mana mara zote wakisafiri hua wanafanya vipindi tofauti na kile walichokifata. Mfano kuna vipindi vingi vya mikoani hua vinafanywa wakati wafanyakazi wakiwa wameenda kufanya mechi za mikoani.

Ni bc tuu hii interview imewachoma wanayanga ndio mana unaona kelele nyingi mjini.
 
Kwa sababu wengi akili zenu humu ni ndogo, hamjuwi Kwa interview hiyo Azam inajihujumu yenyewe.

Azam ina mkataba mkubwa Sana na Yanga.
 
Bongo watu wa ajabu sana mlitaka asifie asiseme ukweli huo ndio mpira wa bongo halisi timu inatumia pesa nyingi za usajili halafu inaamini uchawi na kununua mechi ujiulize pia viongozi wamemfanya nini kwanini ghafla amekua anaidhalilisha klabu!
 
Kama hujui bc tulia ufurahie kuangalia mechi za Yanga kupitia Azam Tv na sio vinginevyo, hayo mengine waachien Azam Tv na Yanga watajua la kufanya.
Sasa wewe mtu anaichafua timu Tena kwa tuhuma za Majini wew unaona huyo mtu yupo sawa?!?!

Jitafakari jamaa yangu
 
Bongo watu wa ajabu sana mlitaka asifie asiseme ukweli huo ndio mpira wa bongo halisi timu inatumia pesa nyingi za usajili halafu inaamini uchawi na kununua mechi ujiulize pia viongozi wamemfanya nini kwanini ghafla amekua anaidhalilisha klabu!
Ukweli gani mzee Kama ni ukweli mbona hao Azam wamefuta Kama wao wanaona ni sahihi
 
Ukweli gani mzee Kama ni ukweli mbona hao Azam wamefuta Kama wao wanaona ni sahihi
Bro, hv unajua Azam anaingiza sh ngapi kupitia Yanga.?
Ungejua bc ht ingekuwa n ww n lazima ungefuta.
Na ufahamu kuwa Azam hawajafuta kwa sababu ya maneno ya watu ila n kwa sababu Yanga wametaka hy video ifutwe.

CC Dr Matola PhD
 
Sasa wewe mtu anaichafua timu Tena kwa tuhuma za Majini wew unaona huyo mtu yupo sawa?!?!

Jitafakari jamaa yangu
Kuhusu majini mm cjui ila nachojua n mayele kuumwa baada ya mechi ya Dodoma jiji na hapo ni baada ya viongozi wa Yanga kupata fununu za mayele kuondoka.

Kwa hapa bongo amesema alienda kwa mwamposa na akapata ahueni Oya ww NALIA NGWENA hivi umemuelewa mayele hapo.? Na pia alienda kwao Congo na huko hakusema alienda kufanya nn, bro NALIA NGWENA hv unaelewa au unaendekeza mapenzi yako kwa Yanga.? Viongozi wa Yanga na nyie mashabiki mlipata taarifa ya kusign mkataba tuu na siku inayofuata akaumwa tena na kurudi Tz na Congo NALIA NGWENA hiv unaelewa.?
 
Ukweli kwenye nini wewe quuuma
Napendaga Sana matusi kama haya tena ambapo sijamkosea mtu ila yeye anaanza kunitukana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…