Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

Bongo watu wa ajabu sana mlitaka asifie asiseme ukweli huo ndio mpira wa bongo halisi timu inatumia pesa nyingi za usajili halafu inaamini uchawi na kununua mechi ujiulize pia viongozi wamemfanya nini kwanini ghafla amekua anaidhalilisha klabu!
Bado Akina Aziz na wenzie. Hii sio timu ya kuchezea ukiondoka wanakumaliza. Tunakoelekea wageni wataogopa kwenda. Anachokifanya Mayele ni kuwatahadharisha wachezaji WA nje. ' Jisajili Yanga at your own risk'.
 
Kampuni ya azam na wafanyakazi wa azam kuna tofauti gani hapo wakati Boss ni mmoja

Sasa unauliza swali badala ya kutoa jibu hapo hapo au wamaanisha bila pesa za azam, Yanga na Simba si chochote ee?
Unazungumzia kampuni ya Azam au wafanyakazi wa Azam.?

Hv unajua simba na Yanga wanaiingizia sh ngapi Azam mpaka uje useme Azam wana chuki na Yanga.?
 
Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
TAIFA LINAANGAMIA.

Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Mpira haujamshinda huko misri team yake inaongoza ligi na yeye anayo magoli matano ndio mshambuliaji kiongozi acha kukaririshwa yuko vizuri
Achana nae huyo, Ukishakuwa shabiki wa Simba na Yanga lazima uwe kipofu
 
Kampuni ya azam na wafanyakazi wa azam kuna tofauti gani hapo wakati Boss ni mmoja

Sasa unauliza swali badala ya kutoa jibu hapo hapo au wamaanisha bila pesa za azam, Yanga na Simba si chochote ee?
Nataka kumaanisha kuwa hakuna bifu lolote kati ya Azam na simba/Yanga, n bc tuu mashabiki wa Yanga hamkupenda kilichosemwa na Mayele ndio mana mnam-attack Azam mana yupo ndani ya uwezo wenu Yanga tofauti na mhusika mkuu mwnyw mayele mana huyo yupo nje ya uwezo wenu.

Em nambie kama mayele angeisifia Yanga, je mngeongea hayo mnayoyasema sasa au vp.?
 
KWA HIYO YANGA WALIMROGA?!

DAH JAMAA YANGU UNA AMINI UCHAWI WEWE MGANGA AU MSHURIKINA

TWENDE TUKABETI HUNA HOJA MKUU
 
AHSANTE MAMA USHAURI
 
WEW UNAFANYA NINI HUMU SI UENDE KANISANI UKATOE MAHUBIRI
 
Umekazania kusifiwa,kusifiwa yaani mengine hujayaona ee. Kwann iwe yeye mayele wakati kuna wachezaji kibao waliondoka vibaya yanga ila hawana time na timu. Mfano fei yupo zake azam kimyaa na mashabiki walishamtosa japo walimsakama sana.
Na muda umepita tangu aondoke why neno Yanga halimkauki mdomoni au alidhani bila yeye Yanga itajifia?
 
AKIKUJIBU NITAG
 
Hasa vijana. Asubuhi hii saa 3 tayari mabishano yameshashamiri vijiweni timu ya Nani mbovu ya Nani nzuri. Serikali ndio maana inawekeza kwenye mpira kuwachota vijana wajinga.
 
kuna udhaifu pale azam kwenye idara ya sheria,vinginevyo ile stori ya mayele isingetolewa
 
Kama kuna mchawi anaefanya hivyo kwa wachezaji wanaoondoka Yanga kuwaumiza aache aisee...inawezekana anafanya bila consent ya club kama club ila kwa chuki zake tuu kwa wachezaji wanaoamua kuondoka na mahaba yaliyopitiliza kwa Yanga..ajue anaichafua hyo club..mtu kama Mayele mpk aseme hivyo kila siku ujue kuna kitu kinamla moyoni mwake..
 
Nawashauri Yanga wapelekeni azam media kwa pilato kama mmebaini Kuna kosa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…