- Thread starter
- #21
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Kumbe wewe ni mwanalumumba.Pole sio kosa lako.Wengi wenu mnadandia treni kwa mbele na ndio maana siku zote mnaonekana vituko mbele ya jamii kama wale vijana waliokodishwa leo kutoka mtaani na vyuoni kumshangilia Mgombea wa CCM na wakawakera viongozi wenu (Wengi wao inaonekana walikuwa wameonja viroba).Ilibakia kidogo tu Jiwe awatimue kama isingekuwa busara za katibu wenu kuwatuliza mapemaEndelea na Mbona zako
Ulisikia lini Azam wakaombwa kurusha Live kwa Magufuli
Kazi mnayo
Na huyo Msaliti wenu AkA Jinsia moja