madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Bado ni Mali ya mtu huwezi kulazimishaJe Kama Chadema wameomba kulipia Air time wakaambiwa siku hiyo Programme ziko full booked?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni Mali ya mtu huwezi kulazimishaJe Kama Chadema wameomba kulipia Air time wakaambiwa siku hiyo Programme ziko full booked?
Naona sasa umeanza kuelewa nini maana ya kichwa cha habari hii. Wasilete upuuzi na upendeleo kwani wao wanaangaliwa na watu wa vyama vyoote.Bado ni Mali ya mtu huwezi kulazimisha
Pamoja na mitambo kukata kata..bado AZAM TV mmeendelea kurusha picha zisizoonekana vizuri ili mradi lengo lenu la kumrusha Mubashara Mgombea wa CCM.
Tunaomba mfanye hivi pia siku ya Jumamosi atakapokuja kuchukua fomu mgombea wa chama kikuuu cha upinzani.
Ilo nalo ni neno. Bora tundelee kupata habari zao kupityia KTN na TV nyingine za Kenya zinazopatikana DSTV...Unataka mungu wa chato awabambikie kesi au kodi?