AZAM TV kama mlivyoonekana leo live zaidi ya saa 3 na 8 August, 2020 Lissu akija hapo tuwaone live

Bado ni Mali ya mtu huwezi kulazimisha
Naona sasa umeanza kuelewa nini maana ya kichwa cha habari hii. Wasilete upuuzi na upendeleo kwani wao wanaangaliwa na watu wa vyama vyoote.
 

Unataka mungu wa chato awabambikie kesi au kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…