Azam TV kupewa kuonyesha mashindano ya Club Bingwa Africa na Shirikisho kupitia FTA(ZBC2) je hii channel itakuwa free bila kulipia kwenye decoder zao?

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake Mechi za CAF tutaziona kupitia ZBC 2 pekee maana ndio chanel ya Bure hiyo.

Sasa najiuliza mpka Leo Azam Tv wameshindwa Nini kuteka soko la mpira? Wateja tunalipa pesa ndefu lakini wanashindwa vipi kununua haki za Pay TV?

Msimu uliopita Mechi za CAF tuliziona KUPITIA Chanel za Pay ambazo ni Azam Sport's HD zote

ZBC 2 Quality yake ni hafifu mno sio HD ya kuangalia Mechi kubwa kati ya Al Ahly na Yanga Sc

Azam Tv mnazidiwa nini na makampuni mengine? Mna Biashara Tanzania , Uganda, Zimbabwe, Malawi shida

Nini

FB_IMG_17277193683548508.jpg
FB_IMG_17277193602383490.jpg
?

Hongereni kwa FTA ila Sasa isifike muda wa Mechi ZBC 2 ikatoka kama hujalipia kifurushi cha mwezi maana hiyo ni chanel ya bure.
 
Mechi toka mwaka jana wanaonesha azamsport 2 HD tena bureeee hata kama ujalipia kfurushi, TUWE WATU WA KUFATILIA MAMBO ILI TUSIJAZE SERVER KWA MAMBO YASIOMANA
Wakati fulani kama kitu hukijui, ni bora ukajinyamazia tu. Hivi katika hali ya kawaida kabisa, utaangaliaje AzamSports 2 HD bila ya kulipia kifurushi cha elfu 28!
 
Siku hizi ikifika muda wa match kama hujalipia 28k ZBC2 huioni.
sasa mkuu kibali sindio kimetoka hivi punde kwamba azam waonyeshe kwa FTA cha msingi tusubiri octoba hii makundi yanaanza tutajua kama ni kweli tutaona bure kwa tusiolipia kifurushi..sio ww unapinga tu lini ulifungua ikakugomea au unaongelea msimu uliopita wakati kibali azam ndo kapewa hivi punde tu tusubiri tutajua tu ila tunavyowajua azam kwa maslahi ya kibiashara hawawezi kuruhusu bure lazima mlipie azam one HD kama ilivyo siku zote
 
Wakati fulani kama kitu hukijui, ni bora ukajinyamazia tu. Hivi katika hali ya kawaida kabisa, utaangaliaje AzamSports 2 HD bila ya kulipia kifurushi cha elfu 28!
WEwe mjinga kaongee na wajinga wenzie, mtu mpira unaangalia kbanda umiza utaelewa nn? nakupa mfano mmoja mechi ya yanga na mamelod ilionesha channel gan? mechi za fifa na caf ni bure zote ndo maana FTA
 
Uko kwa shemeji yako, unakula ugali wa bure! Basi unajiona mjanja kweli. Usikute hata bei ya kulipia tu hicho king'amuzi huijui. 🚮
 
CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake Mechi za CAF tutaziona kupitia ZBC 2 pekee maana ndio chanel ya Bure hiyo.

Sasa najiuliza mpka Leo Azam Tv wameshindwa Nini kuteka soko la mpira? Wateja tunalipa pesa ndefu lakini wanashindwa vipi kununua haki za Pay TV?

Msimu uliopita Mechi za CAF tuliziona KUPITIA Chanel za Pay ambazo ni Azam Sport's HD zote

ZBC 2 Quality yake ni hafifu mno sio HD ya kuangalia Mechi kubwa kati ya Al Ahly na Yanga Sc

Azam Tv mnazidiwa nini na makampuni mengine? Mna Biashara Tanzania , Uganda, Zimbabwe, Malawi shida NiniView attachment 3111551View attachment 3111552?

Hongereni kwa FTA ila Sasa isifike muda wa Mechi ZBC 2 ikatoka kama hujalipia kifurushi cha mwezi maana hiyo ni chanel ya bure.
Kwahiyo wengine humu mnataka kusema, CAF wampe kibali Azam kuonesha bure, halafu Azam atoze, hili hawawezi kuchukuliwa hatua na CAF? Hii si inakuwa ni tamaa sasa! Yani upewe bure, halafu wewe utoze hela? Ngoja tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom