Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake Mechi za CAF tutaziona kupitia ZBC 2 pekee maana ndio chanel ya Bure hiyo.
Sasa najiuliza mpka Leo Azam Tv wameshindwa Nini kuteka soko la mpira? Wateja tunalipa pesa ndefu lakini wanashindwa vipi kununua haki za Pay TV?
Msimu uliopita Mechi za CAF tuliziona KUPITIA Chanel za Pay ambazo ni Azam Sport's HD zote
ZBC 2 Quality yake ni hafifu mno sio HD ya kuangalia Mechi kubwa kati ya Al Ahly na Yanga Sc
Azam Tv mnazidiwa nini na makampuni mengine? Mna Biashara Tanzania , Uganda, Zimbabwe, Malawi shida
Nini
?
Hongereni kwa FTA ila Sasa isifike muda wa Mechi ZBC 2 ikatoka kama hujalipia kifurushi cha mwezi maana hiyo ni chanel ya bure.