Azam Tv kutoonesha Ligi kuu Tz bara msimu ujao

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Taarifa zilizotangazwa jana katika kikao cha ndani ya management hasa kitengo cha sports ni kuwa Azam haitarusha mechi hata moja ya ligi kuu baada ya Vodacom kutoendelea na udhamini kisha kuchukuliwa na wauza pombe TBL ambapo Policy ya Azam ni kutorusha aina yoyote ya pombe.

pia kikao hicho kimetoa pendekezo la kuiondoa timu ya Azam katika ligi hiyo.

Pole wenye vingamuzi vya azam

Updates:
AZAM TV WAMEKANUSHA HABARI HIZI.Kupitia hapo=Tido Mhando: Azam TV itarushwa mechi za ligi kuu

Anayosema Tido ni kinyume na yaliyojadiliwa kwenye kikao juu ya Sera yao kuwa kinyume na wadhamini wapya ambalo Tido halisemi.Akiwa mbishi zaidi tutafunguka zaidi.
Asante
 
Duh jamaa anao msimamo Wa imani yake?
 
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Aisee kwa hiyo Pombe sio Nzuri.
 
In policy implementation studies, thus where you encounter social and cultural diversity!!!

Inahitajika akili kubwa kutatua hiyo situaation (mkinzano) kudrop out sponsanship ya Azam kwa timu za ligi kuu Tz kutaondoa chachu cha ushindani wa timu na exposure kwa wachezani itapungua.

Ila kupanga ni kuchagua!!!
 
Wanaona Pombe Ni Dhambi Wakati Nao Ni Wadhambi Tu. Lini Walikuwa Ni Watakatifu Kama Si Unafiki? Wanaogopa Tope Wakati Wanakanyaga Udongo
 
Watoke tu Kwan Mbona walikuwaga hawapo wamekuja juz tu league lazima iendelee hatuwategemei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…