Azam Tv kutoonesha Ligi kuu Tz bara msimu ujao

Azam Tv kutoonesha Ligi kuu Tz bara msimu ujao

Nimemsikia mkurugenzi wa Azam TV akikanusha habari hizi ana sema walisaini mkataba wa miaka 5
 
Kama kweli speed yao ni Nzuri ya kukataa kuongesha vitu vilivyo wavutia watu baada ya taarifa ya habari sasa ligi kuu hongereni sana
 
In policy implementation studies, thus where you encounter social and cultural diversity!!!

Inahitajika akili kubwa kutatua hiyo situaation (mkinzano) kudrop out sponsanship ya Azam kwa timu za ligi kuu Tz kutaondoa chachu cha ushindani wa timu na exposure kwa wachezani itapungua.

Ila kupanga ni kuchagua!!!
Waende tu mkuu. Dstv wapo tayar kuchukua matangazo yao. Zambia lig yao inaonyeshwa na Dstv. Azam waende tu. Unajua world cup ilidhaminiwa na Budweiser pombe ya kimarekan ambayo tayar imezinduliwa apa kwetu na hao hao tbl lakin azam mbona walikuwa wanaonyesha tu.
Waende tu tuwasahau na Dstv wachukue usukan. Najua na akina tido nao baada ya muda watasepa.
 
hivi kwa nini supa spoti hawakupewa kuonyesha ligi kuu ya Tanzania??huu ujinga tunge epukana nao...
eti haonyeshi mechi kwa sababu hataki kutangaza bia,haya mbona mechi za simba na yanga anazigombania wakati wao wanatangaza kampuni ya kamali sport pesa??
 
Back
Top Bottom