Tatizo kubwa la wafanyabiashara wa tanzania ndio maana hatuendelei
1. Unakuta mtu amefunga yeye kwa imani yake iwe lakini analazimisha watu ambao sio wa imani yake nao wafunge pale anapokuwa mtoa huduma wa biashara ya chakula anafunga hoteli mwezi mzima
2. Unakuta mtu anatoa huduma fulani na ana imani fulani labda jumamosi unakuta anafunga duka siku nzima. Sasa hao wateja watakuwa wanakusubiria wewe tu sehemu ambayo wanakuja mara umefunga mara umefungua kwa imani zako?
3. Kwani hao wanaojifanya hawarushi matangazo kisa kampuni ya pombe inadhamini kwani ni malaika hawatendi dhambi yoyote? na barabara zinazojengwa kwa kodi ya hizo pombe mbona wanazitumia?