Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona vibarua vya kina Nyembera,kabombe,mpenja vinaenda kuota nyasi pale daahTaarifa zilizotangazwa jana katika kikao cha ndani ya management hasa kitengo cha sports ni kuwa Azam haitarusha mechi hata moja ya ligi kuu baada ya Vodacom kutoendelea na udhamini kisha kuchukuliwa na wauza pombe TBL ambapo Policy ya Azam ni kutorusha aina yoyote ya pombe.
pia kikao hicho kimetoa pendekezo la kuiondoa timu ya Azam katika ligi hiyo.
Pole wenye vingamuzi vya azamView attachment 811392
Taarifa zilizotangazwa jana katika kikao cha ndani ya management hasa kitengo cha sports ni kuwa Azam haitarusha mechi hata moja ya ligi kuu baada ya Vodacom kutoendelea na udhamini kisha kuchukuliwa na wauza pombe TBL ambapo Policy ya Azam ni kutorusha aina yoyote ya pombe.
pia kikao hicho kimetoa pendekezo la kuiondoa timu ya Azam katika ligi hiyo.
Pole wenye vingamuzi vya azam.......
Pombe no... Lakini Sport pesa michuano inayodhaminiwa na kampun la kamari yes... Hapana niacheni nadhani kuna kitu sijaelewa
Lini ulioona wanarusha michuano ya sportpesa? hawajawahi kurusha walikataa ndio maana ilirushwa na itv,star tvPombe no... Lakini Sport pesa michuano inayodhaminiwa na kampun la kamari yes... Hapana niacheni nadhani kuna kitu sijaelewa.....
Ile michuano iliyofanyika hapa na Everton akaja hawakurusha kweli?Lini ulioona wanarusha michuano ya sportpesa? hawajawahi kurusha walikataa ndio maana ilirushwa na itv,star tv
Hata cc pombe kwetu n sunawanasema ni suna
[emoji23][emoji23][emoji23]Tigo sawa ila pombe hapana, kazi ipo.
Wanaona Pombe Ni Dhambi Wakati Nao Ni Wadhambi Tu. Lini Walikuwa Ni Watakatifu Kama Si Unafiki? Wanaogopa Tope Wakati Wanakanyaga Udongo
[HASHTAG]#OFFICIAL[/HASHTAG]Taarifa zilizotangazwa jana katika kikao cha ndani ya management hasa kitengo cha sports ni kuwa Azam haitarusha mechi hata moja ya ligi kuu baada ya Vodacom kutoendelea na udhamini kisha kuchukuliwa na wauza pombe TBL ambapo Policy ya Azam ni kutorusha aina yoyote ya pombe.
pia kikao hicho kimetoa pendekezo la kuiondoa timu ya Azam katika ligi hiyo.
Pole wenye vingamuzi vya azamView attachment 811392