Wanaona Pombe Ni Dhambi Wakati Nao Ni Wadhambi Tu. Lini Walikuwa Ni Watakatifu Kama Si Unafiki? Wanaogopa Tope Wakati Wanakanyaga Udongo
Sasa si wangeabudu kimya kimya? kelele za nn? watoke bwana!unakosea sana.... nchi inatoa uhuru wa kuabudu kwa kila raia.... tuwaache wafate imani zao!
Kama unavyowashangaa Waislamu ndivyo nao wanakushangaa.Sasa si wangeabudu kimya kimya? kelele za nn? watoke bwana!
Hahahahahah wasafiTvN
Na mkolomije ataoneshwa na nani
ha ha haaa.. Kifupi cha chama flani cha siasa.. Kaazi kwel kweli!
duh, pole mkuu nami nasikitika kwa kukosa elimu yako! Nikuombee kwa mungu akupe roho kama ya tundu lissu ili uweze kutupa mawazo mazuri!nataka kuchangia kwa kina ila roho yangu inasita
kama yanga waliweza kukataa logo ya mzamini... nazani na hawa wanaweza fanikiwaIn policy implementation studies, thus where you encounter social and cultural diversity!!!
Inahitajika akili kubwa kutatua hiyo situaation (mkinzano) kudrop out sponsanship ya Azam kwa timu za ligi kuu Tz kutaondoa chachu cha ushindani wa timu na exposure kwa wachezani itapungua.
Ila kupanga ni kuchagua!!!
Hii nchi ya ajabu sana naona ndio waliowanyong'onyesha voda by the way kwa lile tukio tu ingibidi yanga watolelewe kwenye ligi akili ingekaa sawa by the way dstv soon anachukua yeye si ndio alikuwa mshindani wa azamkama yanga waliweza kukataa logo ya mzamini... nazani na hawa wanaweza fanikiwa
kwa hyo kufunga duka j2 ni sawa!!?..kama wanatenda dhambi moja unataka waongeze zingine!?Tatizo kubwa la wafanyabiashara wa tanzania ndio maana hatuendelei
1. Unakuta mtu amefunga yeye kwa imani yake iwe lakini analazimisha watu ambao sio wa imani yake nao wafunge pale anapokuwa mtoa huduma wa biashara ya chakula anafunga hoteli mwezi mzima
2. Unakuta mtu anatoa huduma fulani na ana imani fulani labda jumamosi unakuta anafunga duka siku nzima. Sasa hao wateja watakuwa wanakusubiria wewe tu sehemu ambayo wanakuja mara umefunga mara umefungua kwa imani zako?
3. Kwani hao wanaojifanya hawarushi matangazo kisa kampuni ya pombe inadhamini kwani ni malaika hawatendi dhambi yoyote? na barabara zinazojengwa kwa kodi ya hizo pombe mbona wanazitumia?
unajua shida za kifedha ilizozikumba timu!?..azam wanatoa 100m kwa kila timuWatoke tu Kwan Mbona walikuwaga hawapo wamekuja juz tu league lazima iendelee hatuwategemei
kwa hyo kama wanatumia tigo unataka watumie na pombe!?..ili waongeze makosa!!,wadhulumu pia,waibe..kwa kuwa tu wanatumia tigoTigo sawa ila pombe hapana, kazi ipo.
eb ngoja tuone... maana ukienda ktk kinyang'anyiro bila mshindani ina maana wewe una enda shindana na wenye shida (TFF)... hivyo una kuwa na sauti kuliko wao... ebu ngoja tuone... tutapata majibu tuHii nchi ya ajabu sana naona ndio waliowanyong'onyesha voda by the way kwa lile tukio tu ingibidi yanga watolelewe kwenye ligi akili ingekaa sawa by the way dstv soon anachukua yeye si ndio alikuwa mshindani wa azam