Waende tu mkuu. Dstv wapo tayar kuchukua matangazo yao. Zambia lig yao inaonyeshwa na Dstv. Azam waende tu. Unajua world cup ilidhaminiwa na Budweiser pombe ya kimarekan ambayo tayar imezinduliwa apa kwetu na hao hao tbl lakin azam mbona walikuwa wanaonyesha tu.In policy implementation studies, thus where you encounter social and cultural diversity!!!
Inahitajika akili kubwa kutatua hiyo situaation (mkinzano) kudrop out sponsanship ya Azam kwa timu za ligi kuu Tz kutaondoa chachu cha ushindani wa timu na exposure kwa wachezani itapungua.
Ila kupanga ni kuchagua!!!