Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.
Umesahau Ueropa league pia a.k.a Futuhi
 
DSTV ofa nyingi kweli usipolipia unapewa ofa unalipa Tshs 21,000 kwa miezi miwili au 31,000 unapandishwa Compact
 
Ndio huwa wanatangaza hivyo hata mwaka jana euro 2020, kombe la dunia, lakini unakuta sio kweli, unakuta wana haki ya kuonyesha lakini sio mechi zote, michuano ikishaanza tu, kuna baadhi ya mechi hawaonyeshi!!labda kama waanze kwa muchuano hii,
Ni kweli jamaa wababaishaji sana, watajisifu mechi zote live lakini mashindano yakianza wanachagua mechi
 
Tuwape muda.
Kikubwa Azam wamesema wataonyesha mechi zote, sasa tusubiri.
Ni kweli tunawapa muda lakini kutokana na uzoefu tulionao hakuna hata mashindano ya euro, world cup na afcon ambayo walishawahi kuonyesha mechi zote za mashindano.labda waanze sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…