Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Hela ndogo sana hiyo...miaka 10, at least ingekuwa Trilion 1.
Pesa ndogo sana hiyo mkuu.. gharama zinaongezeka kila mwaka..Kwa minajili hiyo ni Billion 22.56 kwa mwaka.
Siyo mbaya sana.
Ni ndama tena yule taahira.Acha kua ng'ombe
Mkuu..kuna namna nyingi sana za ku argue bila kutumia lugha zozote za kuudhi au kudhalilisha tena kwa mtu ambae hajatumia lugha mbaya...take easy.Acha kua ng'ombe
Ishu sio udogo wala ukubwa
Ishu miaka 10?
DStv akija na ofa mara tatu ya hiyo baaada ya miaka 5 hawawezi vunja mkataba?
Ndogo compare to what? Toa data kufananisha na nchi zetu za Africa Mashariki na kati ili kuweza justify your argument.Hela ndogo sana hiyo...miaka 10, at least ingekuwa Trilion 1.
Miaka kumi ni mingi thamani ya pesa nayo inashuka. Angalau ingekuwa mitano mitano tu inatosha.
Kwa wale wanaoona ni pesa ndogo watuoshe macho kimahesabu
Mkuu..kuna namna nyingi sana za ku argue bila kutumia lugha zozote za kuudhi au kudhalilisha tena kwa mtu ambae hajatumia lugha mbaya...take easy.
Na watumizi wanazidi kila mwaka...TFF Wangesign mikataba ya miaka isizidi 3 ili wapate muda wa kupitia mafanikio ya mkataba mara kwa mara.Pesa ndogo sana hiyo mkuu..gharama zinaongezeka kila mwaka..