Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Miaka 10???

Sasa kama dstv akija na offer ya trillion 1 miaka mitatu ijayo???

Hapa kuna upigaji mkubwa umefanyika, serikali fanyeni uchunguzi
Azam ni wakati wake wa kula mavuno, alirisk kipindi hicho hamna anaetamani ligi ya bongo wakiwemo hao DSTV. Now ligi ishakuwa brand kubwa mnaanza kumchukulia poa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi

1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.

Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.

so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.

Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..

2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...

3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama yakulipia vifurushi itabaki constant (20k per month)..Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.

Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).

Wengine wataongezea.
Mkuu hii point yako itengeneze vizuri then tuma kwenye ma group ya whatsap na kule instagram ili kila mtu ajue kiundani sio kupiga makofi huku tukinyonywa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Azam ni wakati wake wa kula mavuno, alirisk kipindi icho hamna anaetamani ligi ya bongo wakiwemo hao dstv. Now ligi ishakuwa brand kubwa mnaanza kumchukulia poa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hata hiyo miaka mitano iliyopita faida aliyotengeneza ukilinganisha na fedha aliyokuwa anatoa kwa ligi kuu.

Wengi wanachopinga ni urefu wa mkataba, sio thamani ya mkataba
 
Vodacom wanatoa 70 m kwa bingwa wa VPL

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Vodacom wanafadhili league kama hisani tu. Makampuni mengi kibongo bongo hayana stiff competition kwamba mpaka wafanye promotion kubwa ndio mambo yaende.

Ndio maana walishawahi kujitoa, hakuna aliyeingia mpaka wakaamua wenyewe kurudi.
 
Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi

1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.

Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.

so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.

Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..

2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...

3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama ya kulipia vifurushi itabaki constant (20k per month).. Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.

Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).

Wengine wataongezea.
Mkuu Fohadi u nail it Mkuu Ila Nina Jambo Dogo Kidogo Hapa Mkuu, Je Unadhani ni BIG DEAL kwa wote AZAM na TFF??

Kitu ambacho sijaelewa ni kama pana makubaliano ambayo yangeweza kuweka ‘sustainability’ ya ligi Kwa maana ya Timu shiriki kuwa ‘covered’ some basic costs kama vile:.
  • Usafiri kwenda kwenye games
  • meals na acommodations.

Hapo naamini upatikanaji wa hayo mambo mawili kwa Teams yangehakikishia stability ya ratiba na uwepo wa Timu kwenye michezo husika kwa wakati... even zile hadithi za kuahirishaahirisha michezo zingepungua pia.

Then Teams husika zikJikita ktk kutafuta mishahara na posho za wachezaji. Maana huwa hapana tofauti ya kimaisha kt ya wale wa daraja la kwanza na Hawa wa ligi kuu.... Kribu kwa mjadala Zaidi.... Hii Ni trial within trial
 
Asante mkuu, nimekaribia na niko tayari kwa mjadala..ila kabla sijaelezea kiundani, naomba unifafanulie zaidi kipi umemaanisha uliposema Je Unadhani ni BIG DEAL kwa wote AZAM na TFF?

Nikishakuwa confident na uelewa wangu juu ya maana uliyoidhamiria hapo kwenye line nilipobold, nitakuwa kwenye posititon nzuri ya kujibu hoja yako..karibu mkuu Josh J
 
Sasa Maina Sponsor Kati Ya Vodacom anaetoa m.70+ kama Zawadi kwa Mshindi Wa 1 na Azam Ambao wanakuja Kutoa Zawadi ya Kitita Cha m.250 kwa Mshindi Wa Kwanza Wa VPL?
 
Hicho kiasi kinatakiwa kiongezeke kila mwaka, sio kinabaki hapo hapo, naamini Azam wameshaona kumiliki haki za kurusha matangazo ya ligi kuu kunawalipa sasa wameamua kukomaa, inatakiwa hao bodi ya ligi na TFF waamke wajue ku negotiate, wakizubaa wataliwa.
 
asante mkuu, nimekaribia na niko tayari kwa mjadala..ila kabla sijaelezea kiundani, naomba unifafanulie zaidi kipi umemaanisha uliposema Je Unadhani ni BIG DEAL kwa wote AZAM na TFF?

Nikishakuwa confident na uelewa wangu juu ya maana uliyoidhamiria hapo kwenye line nilipobold, nitakuwa kwenye posititon nzuri ya kujibu hoja yako..karibu mkuu Josh J
Mkuu I mean kwamba ni HATUA MOJA MBELE ZAIDI ya walipotoka.[emoji120][emoji120]
 
Hicho kiasi kinatakiwa kiongezeke kila mwaka, sio kinabaki hapo hapo, naamini Azam wameshaona kumiliki haki za kutusha matangazo ya ligi kuu kunawalipa sasa wameamua kukomaa, inatakiwa hao bodi ya ligi na TFF waamke wajue ku negotiate, wakizubaa wataliwa.
Tff washakunja ten percent kutoka azam.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hicho kiasi kinatakiwa kiongezeke kila mwaka, sio kinabaki hapo hapo, naamini Azam wameshaona kumiliki haki za kutusha matangazo ya ligi kuu kunawalipa sasa wameamua kukomaa, inatakiwa hao bodi ya ligi na TFF waamke wajue ku negotiate, wakizubaa wataliwa.
Tff washakunja ten percent kutoka azam.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kaka kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa competition, imagine Azam katoa hela yote hio wakati hakuna hata kampuni moja inayoweza kuwekeza kuonesha VPL achilia mbali hata kutamani ko Azam hata iwaje wanastahili pongezi ukizingatia deal lenyewe limeenda mara zaidi ya 10
Kwa hiyo hela na Azam wakatoa hela hiyo tena kwa miaka 10 ujue wanapiga parefu sana.

Muda utaongea Azam walisign mkataba na TFF kwa Bil 5 kwa miaka 5 watu wakapiga kelele sasa ghafla wanaweka Bil 225 mezani ...washaona mbali
 
Back
Top Bottom