Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Mpira ni ukezaji sio laziama utegemee za mdhamini watu wawekeze kwenye mpira
 

Thamani ya ligi haitabaki hapo ndio sababu kila baada ya mika mi3 bonus itaongezeka kwa m200 kwa bingwa yaani na mwaka huu Azam watatoa Jumla ya Sh B8 kwa washiriki lakini mwakani watatoa B10 kwa washiriki na hii itaongezeka kila mwaka na ifikapo mwaka mwa mwisho wa mkataba Azam itatoa B20 kwa washiriki

Kabla ya kuhoji miaka 10 ijayo ambayo ina matumaini tujiulize
Mbona hatuulizi miaka 10 iliyopita ilikuwaje wakati ambao timu inasaji kwa milioni 400 mishahara na mengineyo zaidi ya m500 lakini inakuja kupata zawadi M80?
Angalau tuwapingeze Azam na TFF kwa hili
 
Tena pesa zitakuwa zinaongezeka kila siku na kila timu itapata kifuta machozi kulingana na nafasi kwenye msimamo.

Azam wanastahili pongezi ,ukata wa kulipa salary kwa wachezaji utakoma na maandalizi yataisha.

Pia wataboresha miundombinu ya viwanja na ubora wa matangazo.
 
Usifananishe EPL na VPL
 
Kama ligi imewahi kutokuwa na mdhamini baada ya vodacom kujitoa ni heri Azam au vodacom wasaini na tff miaka hata 20 maana tumeona sio rahisi kihivyo kupata mdhamini au mnunua haki za kuonyesha ligi.
 
Turudi nyuma kwanza,kwa miaka kumi ya nyuma tff walishawai kupata mkataba wa pesa ndefu kama hizi?

Twende mbele sasa,tff kama wangesaini miaka michache wangekuwa na uhakika wa kupata mkataba mwingine mnono kutoka kwa Azam au mdhamini mwingine baada ya hiyo miaka michache ya mkataba kuisha?
 
Hii football industry ni kubwa Sana na vilabu kila kukicha wanalia juu ya Gharama za uendeshaji zipo juu Sana .
Sasa kwa Watu wa Taaluma ya Uchumi na Fedha wanaelewa ...
Hizi 225/225/200. Sawa na Chumvi Baharini🥱

Sio jukumu la azam kuziendesha timu wewe! Haki ya matangazo ni moja tu ya source ya kuipatia club mapato, timu zinapaswa kuwa na wadhamini wao na source zingine za mapato.
Azam wamejitahidi sana kutoa hela yamaana, ndiyo maana hutasikia timu itagoma kupokea hicho kiasi.
 
Usifananishe EPL na VPL
Tukiongelea kuendeleza vipaji, mnasema tuangalie ulaya, imefika kwenye TV rights mnasema tusiangalie kwa wenzetu. Anyways, sina share kwenye team yoyote wala Azam
 
Ishu inakuja wamekaa na vilabu kukubaliana huo mkataba?
Unakubaliana na klabu ipi wakati zinapanda na kushuka? Mimi nataka kufahamu ni kampuni ipi iko tayari kutoa zaidi ya pesa hiyo kwa miaka 10?
 
Wewe unaongelea sales

Ujaongelea growth profit

Ujaongelea net profit

Unajua kuwa kila channel iliyo ndani ya decoder ya Azzam inalipiwa?

Unaelewa kodi kiasi gani inalipiwa kwa kila bill ya mwezi ?

Myonge mnyogeni lakini haki yake mpeni

Wabongo mmekuwa mabingwa sana wa polojo lakini wengi wenu hampo kwenye industry ya mambo mnayoyapinga

Unakuta mtu upo serikalini hauna hata biashara ya laki 5 ila unaongelea biashara za watu wengine.

Mkataba upo wazi amesema kila mwaka atakuwa akiongeza bonas hii ndio maana inapanda kutoka mil500 mpka mil700

Jaman mtafuteni Huyo mwenye uwezo wa kutoa zaidi ya 23 bilion alizotoa azzam tuone kama atapatikana.

Wanaopiga huu mkataba ni Simba na yanga ambao wanataka waendelee kuvikandamiza vilabu vidogo visipate mapato na kuleta ushindani kwenye ligi

Ili waendelee kununua mechi

Zama hizi zinaisha kila MTU ajipange ligi yenye ushindani inakuja.
 
Watu wapuuzi eti pesa ndogo Sana hii[emoji44][emoji44][emoji44],
Binafsi niwashukuru Sana AZAM MEDIA kwa kazi nzuri wanayoifanya,ligi yetu inazidi kupaa!
Vilabu now vitasajili wachechaji wazuri na kuwalipa mishahara mizuri!
Kazi iendelee
Hujui kitu wew. Just imagine nafas ya tano atapokea 65ml. Yan iyo hela hata kwa sas iv kwa nauli ya nusu msimu haitoshi alaf TFF wamekubal ilo dili kwa mda wa 10yrs.
Azam amefany mambo makubwa kwasbb lig yetu ilkuwa haijulikan. Lakn ki uhalisia tuko nyuma ya mda.
 
Baadhi ya mikoa anatumia huduma za mashirika mengine kurusha matangazo mfano uwanja wa Gwambina azam anatumia TCCL Kurusha matangazo ya mpirs ambapo wanalipa si chini ya 40m kwa game moja.
40M kwa game moja etieeh? [emoji23],Mnapoamua kuja na hoja basi jitahidini iwe na mantiki, humu jF tumejaa wajuvi wa kila sekta kwahiyo ni ngumu kupitisha uongo wako.
 
Sio kila mtu mwenye decoder ya azam anaangalia vpl.

Wengine wanaangalia jumong.

Labda mechi kubwa ya simba na yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…