Hii ni tender yeye kashinda na hakuna kampuni yoyote TZ wakushindana na Azam na league yetu washukuru walichopata tusianze kujiona kama tumekuwa EPL na zaidi hakuna kampuni inaingia mkataba kwenda kupata hasara lengo ni faida kamtoe Azam halafu tuone wakuja nani TBC, hao hata mechi za nje tu ZBC wanawashinda.Hizo billion 200+ azam wana uwezo wa kurecover ndani ya miezi miwili hadi mitatu, baaada ya hapo wataendelea kupiga tu hadi 2032.
Waliotia hii saini wachunguzwe na takukuru
Heshima kwako mkuu kwa data.1.data Za Tcra kuna Madishi 1.1m Tanzania nzima, hapa Angalia
Watumiaji wa vingβamuzi wapungua kwa asilimia 3.2 Tanzania - Nukta Habari
Tangu mwaka 2014, idadi ya watumiaji wa vingβamuzi imekuwa ukiongezeka kila mwaka hadi kufikia mwaka 2018 kabla haijapungua hadi milioni 2.68 mwaka uliofuata.nukta.co.tz
Ni data za mwaka uliopita, hio 1.1m ni wote DSTV, Zuku, Azam na wengineo.
Hivyo kuna uwezekano Azam hana 1m monthly subscribers.
2. Kama Data zako zipo sahihi anapata 80B kwa mwaka still kutoa 22B kudhamini ligi ni kubwa sana Kibiashara.
-Uganda azam analipa around 4B tsh
-kenya kila timu wanapewa ksh 10m ambayo ni around milioni 200 tsh.
Kwa East Africa hakuna anaepata kama sisi.
Si hivyo tu, hata ukiangalia makampuni ya Kimataifa dstv analipa epl around 200m akiwa na Pato la around 2B kwa mwaka ambayo roughly ni kama 10% ya Pato lake.
Hio 22B ni ligi Ya Tanzania tu, bado analipa Ligi za nje, chanel za kulipia kama za Kihindi, movies na series wanazo tafsiri etc.
3. Naunga hoja wanaohoji miaka 10 wana point, Kwa muono wangu hili deal linamungizia Hasara Azam kwa short term, no way Ligi yetu iwe na thamani hii.
DSTV analipa around Bilioni 500 kwa nchi takriban 46 za kusini mwa jangwa la sahara hii ni around 10B kwa kila Nchi. Kwamba ligi ya Tanzania ina thamani kuliko Epl?
Inaonekana Azam wame project kwa miaka 10 baadae Ligi yetu inaweza kuwa na thamani zaidi ya hii, hivyo mapema tu wamejipanga na kununua kabisa.
Ama kuna faida nyengine wa napata Toka serikalini kama Ruzuku.
Commercials ...1.data Za Tcra kuna Madishi 1.1m Tanzania nzima, hapa Angalia

Pamoja na hesabu nzuri, kuna haja ya kurekebisha takwimu.
View attachment 1797134
Japokuwa takwimu ni za Desemba 2020 bdo kuweka makadirio ya ving'amuzi 1,000,000 ni makisio makubwa sana.
Hii ni tender sio uteuzi tu wao wametoa offer hiyo wameshinda hii league iko hivi leo sababu ya Azam wame ibrand walikuwa wapi kabla ya Azam? Leo hii Azam ukimtoa biashara yake haiwezi kufa labda faida yake itapungua lakini VPL nani atakayewapa pesa hiyo? Bidding hakuna mjadala umetangaza tender anayeshinda ku meet vigezo anapewa. Azam anahitaji VPL na VPL wanahitaji Azam. Faida ni dhumuni la biashara hilo na ujue kuna operating cost pia hapo faida sio dhambi.Mkuu hii point yako itengeneze vizuri then tuma kwenye ma group ya whatsap na kule instagram ili kila mtu ajue kiundani sio kupiga makofi huku tukinyonywa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Let's basi hao wenye pesa zaidi wachukue udhaminiHela ndogo sana hiyo...miaka 10, at least ingekuwa Trilion 1.
Jambo la Kujiuliza Wanaingia Mkataba Na Vilabu au Tff/Bodi Ya Ligi?Ishu inakuja wamekaa na vilabu kukubaliana huo mkataba?
Pamoja na maelezo yako je nini maana ya tender? kuna tender unaweka kiwango au unaweka masharti ya mtu kupeleka tender ikubaliwe iwe commercial na technical wao wameshinda kama ni close tender hakuna mjadala fair masuala ya faida hayawahusu TFF hayo ni ya Azam maana ukitaka kujuwa faida na je wakijakusema tumepata hasara. Bidding ni fair process haina mjadala hayo ya tender miaka 10 au 3 au sijui 5 ni ya TFF sio Azam.Kwa nature ya hii biashara (Haki za kuonesha mpira) ilivyo ni ngumu sana investors wawili kuexist kwa pamoja..Lazima mmoja afe..kwasababu
Market bado ni dogo sana kuhitaji two suppliers...Gharama za kuendesha biashara zinakuwa juu kuliko faida mtakayogawana..chukulia mfano kwenye soko la ving'amuzi tu..kuna kampuni zingine naamini zinapata faida ndogo sana au inawezekana zinapata loss kwasababu tayari soko ni dogo halitoshi watu wawili..Kuna aina za ving'amuzi huwa nazisikia tu redioni ila hadi leo sijawahi kuviona vinatumika majumbani..vipo ila wateja ni wachache sana.
sasa Ukimuweka AZAM na DSTV kwa ligi moja ya bongo na ambayo market 99.5% ipo bongo lazima wagawane faida na mmoja lazima aanguke maana cost of production ni kubwa kuliko market share.
Najua utakuwa unajiuliza kwanini kuna TIGO, VODA, AIRTEL, HALOTEL, ZANTEL n.k at the same time na wote wanapata faida...Jibu ni rahisi tu kuwa market ni kubwa (zaidi ya watu 30m wanatumia simu) na unakuta mtu mmoja anamiliki line zote...ila watu wanaomiliki ving'amuzi viwili kwa pamoja ni wachache sana kutokana na per capital income za raia.
So, kwa hii biashara ya kuonesha mpira wa ligi ya bongo (taking into consideration the current situation) ni ngumu sana sana sana DSTV na AZAM kuonesha kwa pamoja...Kwanza kati yao hakuna atakaekubali...Kitu pekee ambacho watakubali kufanya ni kugombania tender tu ila sio kuonesha kwa pamoja..
Ndio maana watu wanalalamika miaka 10 ni mingi sana ilibidi iwe michache ili kutoa nafasi kwa bidders kugombania tenda na TFF pamoja na vilabu kuzidi kupata masilahi mazuri. Hii ya mtu mmoja kumiliki soko kwa 10yrs inaua ubunifu.
swali fikirishi kidogo kwako mkuu:
Yule MO kama mjasiriamali, unadhani hajaiona fursa kwenye kuonesha soka?, unadhani anashindwa kuanzisha channel yake ili aoneshe?..Anaweza 100% ila tatizo soko automatically haliruhusu more than one supplier/producer...
Otherwise angekuwa tayari kuanzisha TV ili agombee tender lakini ndo hivo miaka 10 inabidi abaki na idea + ubunifu kichwani.....TFF wamefeli sana.
Hesabu nzuri, lkn tujiulize kuna media nyingine imeshindana na Azam? Ambacho sikubaliani nacho ni huo mkataba wa miaka 10. Ni muda mrefu sana.Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi
1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.
Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.
so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.
Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..
2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...
3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama ya kulipia vifurushi itabaki constant (20k per month).. Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.
Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).
Wengine wataongezea.
Waoneshe eplShirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6.
Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya thamani ya soka ya Tanzania kuongezeka.
BINGWA WA VPL kwa misimu mitatu ijayo, atapata TSH MIL 500 kama 'Bonus' kutoka Azam TV
Pia
Mshindi 2: Tsh Mil 250
Mshindi 3: Tsh Mil 225
Mshindi 4: Tsh Mil 200
Kila nikikusoma napata shida AZAM wame offer kiwango hicho kama wao sasa labda ungejiuliza wa pili katoa offer ngapi? hapo ndio tungelinganisha wao kama kampuni nia yao kufanya biashara kutengeneza faida sio kutoa sadaka kwa vilabu vya Tanzania hii ni biashara. Point yako ya miaka 5 au sijui ifupishwe sawa ila hiyo sio kazi ya Azam ni TFF wametoa tender na masharti yake ndio maana Azam kaja na hiyo number ingekuwa TFF wamtoa tender ya miaka 5 Azam angekuja na number nyingine kabisa sio kiwango hichi. Hatujawa EPL sisi kugombaniwa hii ni league ya hapa Bongo na uwekezaji wa mwanzo ni mkubwa kama vifaa sasa hakuna mtu mpya atakuja kusema anunue vifaa vyote aanze upya kwa kutegemea VPL na mkataba wa miaka 5 hakuna. Azam kaanza taratibu nafikia watu wote Tanzania wamekuwa number one bidhaa wanaweza kuifikisha kwa ufasaha. Mo kanunua team nzima maisha kwa Billion 20 watu kimyaa. Hi ndio thamani ya Simba na kwa Tanzania ni Simba na Yanga tu. Umekuja na malalamiko lakini hakuna solution zaidi ya kusema thamani iongezwe hii ni Tender kashinda muhimu kuangalia nani wa pili na kiasi gani katoa offer kama yupo. Vunja bei alitoa sijui Billion 2 kashinda na Simba walisema wapili alikuwa chini sana sasa atakuja mtu atasema Vunja bei atauza sana jezi billion 2 ndogo atapata faida kubwa, yes yeye anatafuta faida sasa kusema Azam atafaidikia sana ndio na lengo lao kufaidikia wewe kakupa chako ulichoridhia mwenyewe na kutangaza. Sioni point katika hili unless uje uniambie mchakato haukuwa wa Tender hapo nitakubaliana na wewe.Ni kweli mkuu...lakini hujajiuliza growth rate ya soko la ving'amuzi vya azam itakayokuwa influenced na uoneshaji wa soka....na hiyo growth rate ni dynamic as it changes yearly, umewaza hicho?
Point yetu ni kuwa..kwa namna moja ama nyingineaazam anapata faida ndio maana hata kaamua kuwekeza, lakini pia anapata/atapata faida kubwa kuliko thamani ya mkataba..ni either mkataba ufupishwe au thamani yake iongezwe.
Mkuu umetumia busara sana kuhitaji arguments za sisi tunaoona pesa ni ndogo...Iko hivi
1. Umewahi kujiuliza ni vibanda umiza vingapi, watanzania wangapi na lounge au lodge ngapi zinazolipia kile kifurushi ili tu kuangalia mpira (hapa naongelea active customers)..achana na channel zingine.
Mfano, tuweke makadirio ya chini..wenye ving'amuzi nchi nzima ni Milioni moja...na tuweke makadirio ya chini tu kuwa kifurushi kwa mwezi ni elfu kumi.
so, mapato kwa mwezi 1 tu ni 1,000,000 * 10,000 = 10,000,000,000 (bilion 10) ambayo ni sawa na Bilion 80 kwa mwaka (nimepiga mahesabu tu ya ile miezi 8 ambayo ligi inakuwa active)..Hapo sijaongelea wateja wapya wanaonunua ving'amuzi vyao kwasababu tu ili waone mechi za vpl.
Kumbuka hapo bei halisi sio 10k (kwa sasa ni 20k) na wateja wanaohitaji kuangalia mechi ni zaidi ya 1m...Hapa lets assume ile gharama nyingine ya king'amuzi na idadi ya nyongeza ya wateja (10,000 * 500,000 = 5b kwa mwezi), mapato yao yatatumika kwenye kucover costs of operations..
2. Channel zao zinazoonesha mechi zitapata matangazo ya wadhamini wengi sana...kama ambavyo hawa wauza solar wanatangaza kwenye hizi channel...
3. Miaka 10 ni muda mrefu sana, ndani ya huo muda usitegemee gharama ya kulipia vifurushi itabaki constant (20k per month).. Kuna expectation kubwa kuwa itapanda maana demand ya service inaongezeka...hapo faida itakuwa maradufu.
Risk pekee kwa azam ni endapo majanga kama haya ya covid yatatokea (siombei yatokee).
Wengine wataongezea.
nimekupata mkuu..kiukweli sitaki kuzungumzia kama tender ilitangazwa ama la maana sijui kama ilitangazwa..sina coment kwenye swala la tender mkuu.Kila nikikusoma napata shida AZAM wame offer kiwango hicho kama wao sasa labda ungejiuliza wa pili katoa offer ngapi? hapo ndio tungelinganisha wao kama kampuni nia yao kufanya biashara kutengeneza faida sio kutoa sadaka kwa vilabu vya Tanzania hii ni biashara. Point yako ya miaka 5 au sijui ifupishwe sawa ila hiyo sio kazi ya Azam ni TFF wametoa tender na masharti yake ndio maana Azam kaja na hiyo number ingekuwa TFF wamtoa tender ya miaka 5 Azam angekuja na number nyingine kabisa sio kiwango hichi. Hatujawa EPL sisi kugombaniwa hii ni league ya hapa Bongo na uwekezaji wa mwanzo ni mkubwa kama vifaa sasa hakuna mtu mpya atakuja kusema anunue vifaa vyote aanze upya kwa kutegemea VPL na mkataba wa miaka 5 hakuna. Azam kaanza taratibu nafikia watu wote Tanzania wamekuwa number one bidhaa wanaweza kuifikisha kwa ufasaha. Mo kanunua team nzima maisha kwa Billion 20 watu kimyaa. Hi ndio thamani ya Simba na kwa Tanzania ni Simba na Yanga tu. Umekuja na malalamiko lakini hakuna solution zaidi ya kusema thamani iongezwe hii ni Tender kashinda muhimu kuangalia nani wa pili na kiasi gani katoa offer kama yupo. Vunja bei alitoa sijui Billion 2 kashinda na Simba walisema wapili alikuwa chini sana sasa atakuja mtu atasema Vunja bei atauza sana jezi billion 2 ndogo atapata faida kubwa, yes yeye anatafuta faida sasa kusema Azam atafaidikia sana ndio na lengo lao kufaidikia wewe kakupa chako ulichoridhia mwenyewe na kutangaza. Sioni point katika hili unless uje uniambie mchakato haukuwa wa Tender hapo nitakubaliana na wewe.
Kila nikikusoma napata shida AZAM wame offer kiwango hicho kama wao sasa labda ungejiuliza wa pili katoa offer ngapi? hapo ndio tungelinganisha wao kama kampuni nia yao kufanya biashara kutengeneza faida sio kutoa sadaka kwa vilabu vya Tanzania hii ni biashara. Point yako ya miaka 5 au sijui ifupishwe sawa ila hiyo sio kazi ya Azam ni TFF wametoa tender na masharti yake ndio maana Azam kaja na hiyo number ingekuwa TFF wamtoa tender ya miaka 5 Azam angekuja na number nyingine kabisa sio kiwango hichi. Hatujawa EPL sisi kugombaniwa hii ni league ya hapa Bongo na uwekezaji wa mwanzo ni mkubwa kama vifaa sasa hakuna mtu mpya atakuja kusema anunue vifaa vyote aanze upya kwa kutegemea VPL na mkataba wa miaka 5 hakuna. Azam kaanza taratibu nafikia watu wote Tanzania wamekuwa number one bidhaa wanaweza kuifikisha kwa ufasaha. Mo kanunua team nzima maisha kwa Billion 20 watu kimyaa. Hi ndio thamani ya Simba na kwa Tanzania ni Simba na Yanga tu. Umekuja na malalamiko lakini hakuna solution zaidi ya kusema thamani iongezwe hii ni Tender kashinda muhimu kuangalia nani wa pili na kiasi gani katoa offer kama yupo. Vunja bei alitoa sijui Billion 2 kashinda na Simba walisema wapili alikuwa chini sana sasa atakuja mtu atasema Vunja bei atauza sana jezi billion 2 ndogo atapata faida kubwa, yes yeye anatafuta faida sasa kusema Azam atafaidikia sana ndio na lengo lao kufaidikia wewe kakupa chako ulichoridhia mwenyewe na kutangaza. Sioni point katika hili unless uje uniambie mchakato haukuwa wa Tender hapo nitakubaliana na wewe.
Hizo billion 200+ azam wana uwezo wa kurecover ndani ya miezi miwili hadi mitatu, baaada ya hapo wataendelea kupiga tu hadi 2032.
Waliotia hii saini wachunguzwe na takukuru
ata mm nadhan ivo afazali wangefanya 5
Kwa miundo mbinu ipi aliyo nayo hapa nyumban?Ishu sio udogo wala ukubwa
Ishu miaka 10?
DStv akija na ofa mara tatu ya hiyo baaada ya miaka 5 hawawezi vunja mkataba?
Bado demand ya timu ni kubwa kuliko uwekezaj wa Azam. Kwa miaka 3 ijayo hiyo 500ml haitakuw naa thaman kubwa kam ilivo sasaiv.Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6.