Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

1.data Za Tcra kuna Madishi 1.1m Tanzania nzima, hapa Angalia

Ni data za mwaka uliopita, hio 1.1m ni wote DSTV, Zuku, Azam na wengineo.

Hivyo kuna uwezekano Azam hana 1m monthly subscribers.

2. Kama Data zako zipo sahihi anapata 80B kwa mwaka still kutoa 22B kudhamini ligi ni kubwa sana Kibiashara.
-Uganda azam analipa around 4B tsh
-kenya kila timu wanapewa ksh 10m ambayo ni around milioni 200 tsh.

Kwa East Africa hakuna anaepata kama sisi.

Si hivyo tu, hata ukiangalia makampuni ya Kimataifa dstv analipa epl around 200m akiwa na Pato la around 2B kwa mwaka ambayo roughly ni kama 10% ya Pato lake.

Hio 22B ni ligi Ya Tanzania tu, bado analipa Ligi za nje, chanel za kulipia kama za Kihindi, movies na series wanazo tafsiri etc.

3. Naunga hoja wanaohoji miaka 10 wana point, Kwa muono wangu hili deal linamungizia Hasara Azam kwa short term, no way Ligi yetu iwe na thamani hii.

DSTV analipa around Bilioni 500 kwa nchi takriban 46 za kusini mwa jangwa la sahara hii ni around 10B kwa kila Nchi. Kwamba ligi ya Tanzania ina thamani kuliko Epl?

Inaonekana Azam wame project kwa miaka 10 baadae Ligi yetu inaweza kuwa na thamani zaidi ya hii, hivyo mapema tu wamejipanga na kununua kabisa.

Ama kuna faida nyengine wa napata Toka serikalini kama Ruzuku.
Kuna matangazo ya makampuni mbalimbali wakati wa mechi.

Inampunguzia gharama za kuendesha.
 
Kuna matangazo ya makampuni mbalimbali wakati wa mechi.

Inampunguzia gharama za kuendesha.
hata kama kuna matangazo, kuna mechi kama moja nimeilink, mapato ya uwanjani ni laki 2, hizo hata zikioneshwa kwenye tv hakuna anaengalia, unategemea sponsor alipe kiasi gani?

ngoja nikupe mdadavuo wa bilioni 200
thamani ya simba ni bilioni 40 kama mo anatoa 20 sio, kama simba wana thamani hio Yanga hayupo mbali assume nae 40b, waliobakia wote hawafikii hata nusu ya hizo timu. bilioni 200 inaweza kununua vilabu vyote Tanzania, na change inabaki, hivyo no way ligi iwe na thamani hii.
 
hata kama kuna matangazo, kuna mechi kama moja nimeilink, mapato ya uwanjani ni laki 2, hizo hata zikioneshwa kwenye tv hakuna anaengalia, unategemea sponsor alipe kiasi gani?

ngoja nikupe mdadavuo wa bilioni 200
thamani ya simba ni bilioni 40 kama mo anatoa 20 sio, kama simba wana thamani hio Yanga hayupo mbali assume nae 40b, waliobakia wote hawafikii hata nusu ya hizo timu. bilioni 200 inaweza kununua vilabu vyote Tanzania, na change inabaki, hivyo no way ligi iwe na thamani hii.
Naungana na Azam TV! Imeweka pesa kubwa na kwa terms kama zinavyoainishwa ni win win situation kwa Ligi Kuu, Vilabu na Azam TV.

Imagine pamoja na Haki za Matangazo bado ana-facilitate na vilabu like bingwa kupewa pesa kiasi fulani. Still nasikia (Sina Hakika) Azam TV inampango wa kufunga taa za LED Lights katika viwanja vya Ligi Kuu kigezo ni vilabu ambavyo huwa na uhakika wa kusalia Ligi Kuu.

I stand with Azam TV on this.
 
Bado demand ya timu ni kubwa kuliko uwekezaj wa Azam. Kwa miaka 3 ijayo hiyo 500ml haitakuw naa thaman kubwa kam ilivo sasaiv.
Cha kufanya ili kuokoa soka la bongo Kampuni zenye uwezo (AZAM MO GSM) zingekaa chini na TFF kuona ni namna gan wanawez saidia vilabu vdgo. Just imagine nafas ya 5 atapokea 65ml haitoshi hat kwa nauli ya msimu mzma.
watu wanatafuta pesa we unaleta habari za kusaidia.
 
DStv walikuwa na subscribers 400,000 wakati Azam walikuwa nao 200,000..
Startimes ndo walikuwa nao zaidi ya milioni..

Kama azam inawalipa why DStv isiwalipe?
Startimes je??
Hivi unazani dstv wamekatazwa kutia mpunga zaidi ya huo? Dstv ni ya zamani kuliko Azam sasa walikuwa wapi siku zote kuichukua ligi hadi azam aje aichukue?
 
Broo..kwa.mwaka kila.klabu zitapata bilioni 8 zote kwa pamoja ..ndio zitagawana..hio..pia Kuna waamuzi hapo hapo nk..pi
Kumbuka klabu pia zinapata pesa kutoka vodacom, pia tuelezeni kati ya wale biders nani alikuwa yupo tayari kutoa pesa zaidi ya hiyo?
 
Miaka 10 mingi sana ingetakiwa iwe mkataba wa miaka 3 tenda ikatangazwa tena...yawezekana akaja mwekezaji akaweka Bil 32 mezan kwa mwaka......lakini huu ujinga wa kupiga msumari miaka 10 haufai....

Hata aje nani TFF atake kufanya mabadiliko yenye tija kwenye mkataba huo hawezi
Hii mambo ya YAWEZEKANA ACHANENI NAYO siku zote walikuwa wapi kuja? Tender ilivyotangazwa uliona hao biders?
 
Hivi leo tumeshuhudia, TFF na AZAM wakiingia mkataba mnono wa kuonyesha ligi kwa kipindi cha miaka 10.

unaonekana ni mkataba mnono sana, lakini mimi kama mdau umeniacha kwenye maswali mengi sana, kwanini ni mkataba wa miaka 10? Miaka 10 ni mingi sana katika soko huria.

Inamaana hakuna washindani ambao wangeweka dongo nono zaidi mbele? au thamani ya ligi itabaki kama ilivyo kwa kipindi chote?

na hata kama hakuna washindani je wanauhakika gani ndani ya muda huo hakutakuwa na mshindani mwingine?

Binafsi naamini pamoja na unono wa kitita kilichotolewa na Azam lakini miaka 10 ni mingi sana hasa kwenye soko huria na kwenye maendeleo ya sayansi na teknologia.
Tumewazoea nyie kelele nyingi wakati uwezo wa kudhamini hata timu moja huna,hivi kweli dstv angekuja na hela hiyo akawaambia tff anaitaka ligi kwa miaka mitatu angenyimwa? Hivi mbona hamuwalalamikii wanachotoa vodacom kama wadhamini wakuu? Voda inampa bingwa 80m wakati azam anatoa 500m,
 
Chama lenu la maccm limefukarisha watu unajifanya hujui? Hujui kwamba licha ya watu wengi kumiliki simu Takwimu za matumizi ya salio utashangaa.

Au nenda bank ukaokote vile vi bank statement utakuta salio kwa wengi hawazidi 200,000
Mimi na CCM tuna mahusiano gani?..mkuu mbona unanitukana mchana kweupe hivi?..Mimi ni CCM?,,aisee umenichefua sana.

Naomba uniombe msamaha tafadhali.
 
Hujui kitu wew. Just imagine nafas ya tano atapokea 65ml. Yan iyo hela hata kwa sas iv kwa nauli ya nusu msimu haitoshi alaf TFF wamekubal ilo dili kwa mda wa 10yrs.
Azam amefany mambo makubwa kwasbb lig yetu ilkuwa haijulikan. Lakn ki uhalisia tuko nyuma ya mda.
Acha ujinga, kwani ni Kazi ya Fff au Azam kutafuta nauli na gharama zingine za timu? Kama hazitoshi waambie wakatae afu wewe uwafadhili
 
Acha ujinga, kwani ni Kazi ya Fff au Azam kutafuta nauli na gharama zingine za timu? Kama hazitoshi waambie wakatae afu wewe uwafadhili
Soka haliwezi kuwa na ushindani kam vilabu vingne havina uwezo. Ndoman wachezaj wet wa kibongo tunalalamik viwango vina drop ni kwasbb ya mazngira ya timu wanazocheza
 
Acha kua ng'ombe
Wewe ndiye ng'ombe tena Maksai,thamani ya shilingi inaongezeka kila siku bill 225.6 ya mwaka huu siyo ya mwaka 2029/31 mpaka kufika kipindi hiko hao TFF watakuwa wanaokota machenji change tu hamna kitu.

Mwenye akili angewabana mikataba iwe ya muda mfupi ili kuendana na thamani ya shilingi wakati husika.
 
Back
Top Bottom