Bongo hata ashuke Malaika kazi anayo watu wao kupinga tu ukiwauliza solution hawana team zima la simba wameuza kwa mkopo. Ukiwauliza TV gani walitaka hii league hawana jibu.Wabongo kwa ujuaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo hata ashuke Malaika kazi anayo watu wao kupinga tu ukiwauliza solution hawana team zima la simba wameuza kwa mkopo. Ukiwauliza TV gani walitaka hii league hawana jibu.Wabongo kwa ujuaji.
Na wamesema pesa hizi sio za kusajilia wachezaji ila matumizi ya team ya msingi kama mishahara na maandalizi.Tena pesa zitakuwa zinaongezeka kila siku na kila timu itapata kifuta machozi kulingana na nafasi kwenye msimamo.
Azam wanastahili pongezi ,ukata wa kulipa salary kwa wachezaji utakoma na maandalizi yataisha.
Pia wataboresha miundombinu ya viwanja na ubora wa matangazo.
Ni kweli lakini why not 5 years? Review clauses zake zikoje?Sasa ndugu yangu unataka kufananisha EPL na VPL, ndio wanafanya mnada kwa sababu wahitaji wengi ile ni international brand yaani EPL wanaringa wakifanya mnada na sio wanauza mechi zote wanauza kwa mafungu ikija international wanafanya mnada tena ila mwaka huu wana renew bila bidding sababu ya corona. Huku kwetu unataka mnada kama hajatokea Azam tu na ukifanya mnada Azam si atajua mpinzani ana offer ngapi atapandisha kidogo tu. Hii ni deal kubwa kwa vilabu hakuna yoyote wakuwapa hiyo Simba tu imeuza maisha kwa Billion 20 tu bado ya mkopo Azam analipa kwa mwaka hiyo.
Kumbuka Azam sio kutangaza tu ila kawekeza kuimarisha viwanja mikoani kuweka mataa na league hii imekuwa hapa tu ni baada ya Azam kuanza kurusha league ilikuwa sio lolote kwa thamani. Ok tufanya miaka 5 unadhani Azam angetoa kiwango hichi miaka 5? Ukweli hakuna Tanzania kwa sasa wa kushindana na Azam tuwe wa kweli tukipende chetu kama SA wanavyopenda DSTV hakuna wakushinda na DSTV kule au Africa kwa sasa walikuwa wakajaribu wakafilisika mwaka tu mnakumbuka wale sijui G Tv kilichowakuta? Halafu inabidi watu wakamsilize Tido speech yake yote utamuelewa anaongea nini hii kila mwaka pesa inapanda na wanasimamia pesa kuwa inaenda sehemu inayostahili. Wa Tanzania tupende chetu mpira huu umefika hapa kwa sababu ya Azam kwa kiasi kikubwa. wame ipromote league sana tu. Tujiulize tu kabla ya Azam tulikuwa wapi na baada ya Azam tuko wapi? kwani DSTV, TBC,ITV hawakuepo?Ni kweli lakini why not 5 years? Review clauses zake zikoje?
Changamoto zetu ni hizo hizo, taasis nyingi bado ziko dhaifu kwenye kusimamia maslahi, hata hao Simba tatizo ni udhaifu tu, inakuwaje mpaka leo wanapigwa chenga na MO? Kama sio watu kadhaa kupewa vipande wakae kimya. Simba ni klabu kubwa kabisa hapa East Africa, Mo anakula tu free ride; Hata ukiwauliza TFF, EPL ina value gani, na wanategemea in 10yrs itakuwa na thamani gani hawafahamu.
Kila la kheri, maana kila anayeuliza anaonekana ana choyo.
Huku timu shiriki ikikunja zaidi ya 1.2bln,pesa ndefu sana hii kama azam hatavunja mkatabaBro..huo mkataba unakipengele cha than a kuongezeka kila mwaka..kwa maelezo yao mpaka kufika mwisho wa.mkataba Bingwa atakuwa anapata milioni 750 as bonaus
Kwa miaka 5 ni risks kwa biashara yao,hakuna mpuuzi angeweka mezani mabilioni hayo kwa miaka 5,wewe unaweza? unaelewa kwa nini sheria za uwekezaji kwenye ardhi kwa mfano ni miaka 33 hadi 99?Ni kweli lakini why not 5 years? Review clauses zake zikoje?
Changamoto zetu ni hizo hizo, taasis nyingi bado ziko dhaifu kwenye kusimamia maslahi, hata hao Simba tatizo ni udhaifu tu, inakuwaje mpaka leo wanapigwa chenga na MO? Kama sio watu kadhaa kupewa vipande wakae kimya. Simba ni klabu kubwa kabisa hapa East Africa, Mo anakula tu free ride; Hata ukiwauliza TFF, EPL ina value gani, na wanategemea in 10yrs itakuwa na thamani gani hawafahamu.
Kila la kheri, maana kila anayeuliza anaonekana ana choyo.
wewe unajua tutakako kuwa? hiyo ni kamali kama kamali zingine.Tunaongelea Full Package 225 billion bila kuangalia hiyo miaka 10 yenyewe tutakuwa wapi katika Ramani ya Soka na Mtazamo wa Soka lenyewe kwa Mapana yake.
Weka hesabu zao mezani sio unaongea kwa hisia ili tuone.Ingekuwa ni deal kiasi hicho hao utopolo wasingekuwa wanamlilia Manji na GSM..Merchant za klabu Pekee kwa Yanga na Simba Tayari ni Pesa kubwa Sana..
Angalia Simba Day.....
Mwananchi Day .........
Viingilio + Mauzo ya Product zao + Wauze haki yakuonyesha tu hizi Tamasha kwa Tv wanazo zitaka watapa Fedha kiasi Gani.??
Sasa umeuliza nini?Mkuu hivi unajitoa ufahamu au? hukuona biders wengine wametajwa? kwa taarifa yako dstv hakubid kabisaa, nikuulize swali, ikiwa wewe ndio muamuzi wa mwisho kwenye tenda, azam kabid kwa 1b na tbc kabid kwa 1.5b utampa nani?
Kwanini hawkuweka sasiav wakat tender imetangazwaMiaka 10???
Sasa kama DSTV akija na offer ya trillion 1 miaka mitatu ijayo???
Hapa kuna upigaji mkubwa umefanyika, serikali fanyeni uchunguzi
Ndio ilivo ache aanze kula faida zakeAzam ni wakati wake wa kula mavuno, alirisk kipindi hicho hamna anaetamani ligi ya bongo wakiwemo hao DSTV. Now ligi ishakuwa brand kubwa mnaanza kumchukulia poa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Time will tell.Kumbuka Azam sio kutangaza tu ila kawekeza kuimarisha viwanja mikoani kuweka mataa na league hii imekuwa hapa tu ni baada ya Azam kuanza kurusha league ilikuwa sio lolote kwa thamani. Ok tufanya miaka 5 unadhani Azam angetoa kiwango hichi miaka 5? Ukweli hakuna Tanzania kwa sasa wa kushindana na Azam tuwe wa kweli tukipende chetu kama SA wanavyopenda DSTV hakuna wakushinda na DSTV kule au Africa kwa sasa walikuwa wakajaribu wakafilisika mwaka tu mnakumbuka wale sijui G Tv kilichowakuta? Halafu inabidi watu wakamsilize Tido speech yake yote utamuelewa anaongea nini hii kila mwaka pesa inapanda na wanasimamia pesa kuwa inaenda sehemu inayostahili. Wa Tanzania tupende chetu mpira huu umefika hapa kwa sababu ya Azam kwa kiasi kikubwa. wame ipromote league sana tu. Tujiulize tu kabla ya Azam tulikuwa wapi na baada ya Azam tuko wapi? kwani DSTV, TBC,ITV hawakuepo?
Umetoa mfano wa ardhi, na mtu mwingine anaweza kutoa mfano mwingine.Kwa miaka 5 ni risks kwa biashara yao,hakuna mpuuzi angeweka mezani mabilioni hayo kwa miaka 5,wewe unaweza? unaelewa kwa nini sheria za uwekezaji kwenye ardhi kwa mfano ni miaka 33 hadi 99?
anyepayuka ni mama yako tukiwa naye kitandaniWatoe uwaingize choo cha kiume, ukute huna hata 40,000 kwenye account kama balance afu unapayuka hapa
Halafu kuna kenge zinasema azam kawanyonya, yaani kabisa nakaa naangalia gwambina na kmc kweli?Kuangalia mpira wa bongo yataka moyo mkuu.
Big noo..Hawa Majamaa walikuwa wanaitaka Sana hii ligi ...Ila nadhan dau lao halikuwa zuri ...plus this time sidhan Kama wakiomba tenda..maana wakiomba ni TBC(startime) Startv (continental ) na ATN ( TIng)Kwa nnavyo ifahamu DSTV ni ngumu sana kuonyesha league ya bongo, wale jamaa wako strictly na ratiba hawezi kuonyesha league inayo ahilishwa kila siku, game ya saa 10 mara inabadilika ichizwe saa 8, leo hii league ilitakiwa iishe mwezi wa 5 sasa hivi inaenda mpaka mwezi wa 7 ikitokea waka sign mkataba una vunjika hata msimu mmoja hauja isha
Kumbe huo ndio mpango wenyeweHela aliyotoa azam ni nyingi sana
ataweka taa uwanjani,matangazo ya electronic na marekebisho ya viwanja.
Wanachukuaje wakati hizo hela hazitoki kwa mkupuo, hela zitatoka kutokana na muendelezo wa mechi.TRA wamechukua chao bilioni 36 tayari