Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Azam ni very unprofessionalNimependa jinsi tv za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika.
Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa Hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine.
Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga kayafungaje.
Kwa mfano mchezaji kafunga magoli 9, basi mtaambiwa ya Kwa miguu kafunga ngapi, Kwa kichwa ngapi na kwa penati ngapi.
Azamtv igeni mfumo huu.
Hizo takwimu si zipo tu. Wanachotakiwa ni kupitia magoli ya wachezaji wote na kuyaweka tayari kwa matumizi.Wanatumia camera za kizamani
Nipo hapa msemaji wa Azam TV, kwanza unalipia kifurushi cha sh ngapi? Tuanzie hapoNimependa jinsi tv za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika.
Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa Hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine.
Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga kayafungaje.
Kwa mfano mchezaji kafunga magoli 9, basi mtaambiwa ya Kwa miguu kafunga ngapi, Kwa kichwa ngapi na kwa penati ngapi.
Azamtv igeni mfumo huu.
Hauwezi kuonyesha mpira kwa Camera za kizamani sema ubora na bei zimetofautiana na za wenzetu ingawaje za Azam nazo zimeshika hela nyingi..Wanatumia camera za kizamani
Hata hivyo hoja ni takwimu. Mzize magoli yake mangapi kafunga Kwa kichwa, miguu na mangapi ni ya penati? Mbona rahisi tu.Hauwezi kuonyesha mpira kwa Camera za kizamani sema ubora na bei zimetofautiana na za wenzetu ingawaje za Azam nazo zimeshika hela nyingi..
Tatizo ni utuzanji wa kumbukumbu, tuko nyuma.
Labda hili la kukosekana Kwa kumbukumbu. Lakini ndani ya msimu mmoja kumbukumbu zinakosekanaje?Watanzania hatuna desturi ya kutunza kumbukumbu
Takwimu watakua nazo tff mkuu mimi hakuna kitu ntakumbuka hapa..Hata hivyo hoja ni takwimu. Mzize magoli yake mangapi kafunga Kwa kichwa, miguu na mangapi ni ya penati? Mbona rahisi tu.
Hii Siyo kweli maana kwa Tanzania wao ndiyo pekee wenye Kila haki ya matangazo ya ligi za TFF. Kwa ivo hoja kwamba takwimu zinanunuliwa hapa haina mashiko.Wakipandisha kifurushi bei mnaanza kulialia?. Takwimu zinanunuliwa
Labda hili la kukosekana Kwa kumbukumbu. Lakini ndani ya msimu mmoja kumbukumbu zinakosekanaje?
Zinaweza kuwepo ila hazitunzwi kwa namna ambayo ni rahisi kuchakata, au uvivu wa watangazaji kuandaa stats za kutosha za kila mchezaji kabla ya mechi kuanza.Labda hili la kukosekana Kwa kumbukumbu. Lakini ndani ya msimu mmoja kumbukumbu zinakosekanaje?
Sasa ndiyo maana naona wana wajibu wa kubadilika.Zinaweza kuwepo ila hazitunzwi kwa namna ambayo ni rahisi kuchakata, au uvivu wa watangazaji kuandaa stats za kutosha za kila mchezaji kabla ya mechi kuanza.
Ubunifu sifuri AzamHizo takwimu si zipo tu. Wanachotakiwa ni kupitia magoli ya wachezaji wote na kuyaweka tayari kwa matumizi.
Hawana ubunifu na pia hawajui kuigaZinaweza kuwepo ila hazitunzwi kwa namna ambayo ni rahisi kuchakata, au uvivu wa watangazaji kuandaa stats za kutosha za kila mchezaji kabla ya mechi kuanza.
Wabinafsi pia. Nadnani Ili ukubalike kwao ni Lazima uukubali mfumo wao Wa mabwana na watwana. Nasikia Azam kuna ufaza sana.Kuna content nyingi sana ktk soka ila wao wanakosa watu