Azam TV tafuteni mabondia wengine , Twaha kiduku na Dulla Mbabe tumewachoka , ni local boxers , nje hawafiki hata round 3

Dullah Bondia mzuri tu,
Sema Kiduku ndio anamuwezea.
Leo anashinda kihalari kabisa.
Dullah watu wanamdharau ila ni mpambanaji,ngumi zote zile nzito za Twaha hajawakuanguka wala knock out
 
Dullah Bondia mzuri tu,
Sema Kiduku ndio anamuwezea.
Leo anashinda kihalari kabisa.
Ni bondia mzuri sana na ana jina ila apunguze idadi ya mapambano atazoeleka sana mwisho wa siku atapoteza mvuto.
 
Dullah watu wanamdharau ila ni mpambanaji,ngumi zote zile nzito za Twaha hajawakuanguka wala knock out
Ushauri wetu uliilenga Azam TV , hatuna shida na Dullah
 
Mimi sio Mtu maarufu kwenye Ndonga lakini nina Uhakika kwa Dulla na kiduku ninawaweka chini mapema tu.
 
Ni bondia mzuri sana na ana jina ila apunguze idadi ya mapambano atazoeleka sana mwisho wa siku atapoteza mvuto.
Mchezo wa ngumi nia ni kupata pesa.
Ni kama mwanamziki bila matamasha pesa inapungua.

Sifahamu sheria inasemaje kuhusu muda wa bondia kupumzika baada ya pambano lake la mwisho.
 
Mchezo wa ngumi nia ni kupata pesa.
Ni kama mwanamziki bila matamasha pesa inapungua.

Sifahamu sheria inasemaje kuhusu muda wa bondia kupumzika baada ya pambano lake la mwisho.
It is true anapata pesa kwa kupigana. But anatakiwa akae chini na management yake wawe na mkakati wa kupata faida kubwa kwa kutumia scarcity yake ya kutokuonekana ulingoni ifikie kipindi mashabiki wake tuwe tunahitaji pambano lake na akifikia hapo hata akipigana mara 3 tu kwa mwaka anapata hela nzuri.

Ingwa sikatai kua akipigana mara kwa mara anamake more money ila anatakiwa ashinde hayo mapambano akipoteza mawili mfululizo nae ajiande kuona his downfall.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…