Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Dullah watu wanamdharau ila ni mpambanaji,ngumi zote zile nzito za Twaha hajawakuanguka wala knock outDullah Bondia mzuri tu,
Sema Kiduku ndio anamuwezea.
Leo anashinda kihalari kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dullah watu wanamdharau ila ni mpambanaji,ngumi zote zile nzito za Twaha hajawakuanguka wala knock outDullah Bondia mzuri tu,
Sema Kiduku ndio anamuwezea.
Leo anashinda kihalari kabisa.
Ni bondia mzuri sana na ana jina ila apunguze idadi ya mapambano atazoeleka sana mwisho wa siku atapoteza mvuto.Dullah Bondia mzuri tu,
Sema Kiduku ndio anamuwezea.
Leo anashinda kihalari kabisa.
Ushauri wetu uliilenga Azam TV , hatuna shida na DullahDullah watu wanamdharau ila ni mpambanaji,ngumi zote zile nzito za Twaha hajawakuanguka wala knock out
Mchezo wa ngumi nia ni kupata pesa.Ni bondia mzuri sana na ana jina ila apunguze idadi ya mapambano atazoeleka sana mwisho wa siku atapoteza mvuto.
It is true anapata pesa kwa kupigana. But anatakiwa akae chini na management yake wawe na mkakati wa kupata faida kubwa kwa kutumia scarcity yake ya kutokuonekana ulingoni ifikie kipindi mashabiki wake tuwe tunahitaji pambano lake na akifikia hapo hata akipigana mara 3 tu kwa mwaka anapata hela nzuri.Mchezo wa ngumi nia ni kupata pesa.
Ni kama mwanamziki bila matamasha pesa inapungua.
Sifahamu sheria inasemaje kuhusu muda wa bondia kupumzika baada ya pambano lake la mwisho.
Hajapigwa , kadundwaDulla kapigwa hii ya leo
Yametimia KapigwaDharau za kipumbavu, wahaya mna shida sana
[emoji38][emoji38][emoji38] Noma kweli !Dullah kakandwa Kama ngoma ya kizaramo. Mamaee