Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Aisee nimeangalia uwekezaji wa Azam TV kwa kununua mitambo mipya ya mabilioni ya pesa. Duuuh kuna media zina pesa wallah....Mabilioni ya pesa hapo yametumika!!

Hawa watu wamejipanga kweli, nimeona tu kamera moja ya ubora wa kimataifa kama zile wanazotumia huko Hollywood nk ni milioni 500 na hapo wamenunua kamera kibao ambayo kila moja ni milioni 500!!

Azam TV OB Van.jpg

Hapo hujaweka mitambo mingine ya kisasa, VAR etc.
Mitambo ya VAR wamezindua!

Azam wanatumia pesa kuwekeza ndo maana wanapata kila wanachokitaka. Wameweza kufanya channel zao zote kuwa HD sio kazi rahisi. Hawa wanatakiwa waje na laini za simu sasa.

TV nyingine na media za kibongo nyingine wana la kujifunza kwa Azam!!

 
Back
Top Bottom