The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Sawa Yote tisa, Habari nzuri ya kutazama na ya uhkika inapatikana Aiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiiii (ITV)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamera ngapi zimenunuliwa?wamenunua kamera kibao ambayo kila moja ni milioni 500!!
Kwa taarifa nilizonazo zipo camera sio chini ya 15Kamera ngapi zimenunuliwa?
Kamera kibao ndio nini?
Hapo sawaKwa taarifa nilizonazo zipo camera sio chini ya 15
AahahàaaaKuna mijitu inapesa kuliko Serikali asee.
Ulimbukeni unakusumbuaHata wanunue mitambo ya namna gani. Siwezi kuangalia media zao. Infact siwezi kuangalia media yoyote ya Tanzania iwe Radio au TV wote ni uchafu tu.. Acha niendelee na ABC news, CNN,BBC, FOX , NSBC, DW tv, RT, France 24.
tAisee nimeangalia uwekezaji wa Azam TV kwa kununua mitambo mipya ya mabilioni ya pesa. Duuuh kuna media zina pesa wallah....Mabilioni ya pesa hapo yametumika!!
Hawa watu wamejipanga kweli, nimeona tu kamera moja ya ubora wa kimataifa kama zile wanazotumia huko Hollywood nk ni milioni 500 na hapo wamenunua kamera kibao ambayo kila moja ni milioni 500!!
Hapo hujaweka mitambo mingine ya kisasa, VAR etc.
Mitambo ya VAR wamezindua!
Azam wanatumia pesa kuwekeza ndo maana wanapata kila wanachokitaka. Wameweza kufanya channel zao zote kuwa HD sio kazi rahisi. Hawa wanatakiwa waje na laini za simu sasa.
TV nyingine na media za kibongo nyingine wana la kujifunza kwa Azam!!
Hii hapaSamahani bro, Quadrillion naomba uiandike kwa tarakimu. 🤝
Alichukua mwaka Gani mkuu maana miaka 2000 kule kijijini tulikuwa tunaona magari ya METL na Bhakresa yakishindana kusambaza Unga.Labda kile kinu cha Tazara alichonunua baada ya kubinafsiwa ambazo kimeleta tija ya ubinfsishaji twende mbele turudi nyuma Bhakresa anasaidia hili taifa kuongeza ukwasi.Hongera sana Jeikei kwa kuchukua pesa za serikali na kumpa bakhresa.
Mbali sana kaka 😂😂Aahahàaaa
Umewaza Nini mkuu!?