Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Huwezi kununua viatu kama huna miguu.Unaweza ukawa na vifaa vizuri ila ukashindwa kulipia supporting bills,
Mfano Ili urushe hayo matangazo transponder Moja kukodi Kwa wamiliki wa satellite yenye uwezo wa kurusha matangazo Kwa njia ya full hd, 4k gharama yake inaweza kuzidi gharama ya vifaa vyako na studio Kwa ujumla, hivyo wengi hawashindwi kwenye vifaa vya ardhini ila Kuna mabwenyenye yenye satellite zao ndio mtihani
Frequency yenye kubeba vichannel 3 kwa kiwango Cha SD(mpeg 2) ni zaidi ya 150 million kwa mwaka