Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Hata kwenye List ya Richest people hajawekwa..Alafu eti data zinasema MO ana mawe kuliko bakharesa..hapo ndo huwa sielewi..hela za MO hazionekanagi laivu laivu zikifanya vitu
Hakuna anaejua Networth ya Mwamba asee . 🤔🤔