Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Aisee nimeangalia uwekezaji wa Azam TV kwa kununua mitambo mipya ya mabilioni ya pesa. Duuuh kuna media zina pesa wallah....Mabilioni ya pesa hapo yametumika!!

Hawa watu wamejipanga kweli, nimeona tu kamera moja ya ubora wa kimataifa kama zile wanazotumia huko Hollywood nk ni milioni 500 na hapo wamenunua kamera kibao ambayo kila moja ni milioni 500!!

Hapo hujaweka mitambo mingine ya kisasa, VAR etc.
Mitambo ya VAR wamezindua!

Azam wanatumia pesa kuwekeza ndo maana wanapata kila wanachokitaka. Wameweza kufanya channel zao zote kuwa HD sio kazi rahisi. Hawa wanatakiwa waje na laini za simu sasa.

TV nyingine na media za kibongo nyingine wana la kujifunza kwa Azam!!

ITV ya mengi imeshindwa kabisa kuwa na HD😂😂😂
 
Ni pesa ya ving'amuzi vya robo wateja tu!
 
Kongole kwao
 
Kabisa mkuu... Wala sio uwongo aiseee
Imekaa vizuri sana, tusipowapongeza tutakuwa wanafiki kabisa.
Hongera kwa uongozi, CEO, Wakurugenzi Tido Mhando & Patrick Kahemele na all staff members wa Azam Media, bila kimsahau TOP MANYOTA MZEE BHARESA mwenyewe.🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌷🌷🌷🌷💐💐 Chukueni maua yenu
 
Ahsante sana mkuu zimefika..
Ongezea na mafundi mitambo nyuma ya camera ahahahah
 
Huyo bakhresa wako wakiamua kumtia umasikini ni dakika tu.

Tafuta huu uzi 👉 Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi​

NMB na BAKRESA nani anapesa? Hawawezi wakamtia umasikini mtu anaelipa mapato makubwa kupitia Kodi na Kusaidia huduma hata kwa watu wa chini..

Nahisi pia we mwenyewe umeshashiba chapati za unga wake. 😂😂
 
Back
Top Bottom