Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

Azam wakitua Bongo wapewe adhabu ya kulima shamba la matikiti wiki nzima

images (1).jpg
 
Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni,

Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk

Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati,

Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu na barua ya kujieleza kwanini wafungwe kizembe,

Bila kusahau wakatwe na mishahara.

Wachezaji hawana ari kabisa, sijui wanabweteka na kitu gani.
Kwa nini wasipewe adhabu ya kusukuma chapati waone uzito wa upatikanaji wa fedha wanazochezea?
 
Haiwezekani timu ikawa na kila kitu lakini wachezaji wanacheza utadhani wamefungiwa matofali miguuni,

Timu ina miundombinu ya kisasa kabisa kama vile uwanja mzuri, Gym nk

Wachezaji wanalipwa mishahara na bonus kwa wakati,

Ikiwezekana wachezaji wapewe adhabu ya kulima matikiti ,viboko mujarabu na barua ya kujieleza kwanini wafungwe kizembe,

Bila kusahau wakatwe na mishahara.

Wachezaji hawana ari kabisa, sijui wanabweteka na kitu gani.
🤣🤣🤣🤣
 
Wengine wanahangaika kupandisha points, Wengine wako bize kuziporomosha.

Nilikuwa nawaambia mashabiki wenzangu wa Yanga bora nafasi ya pili ashike Simba(Ushabiki wa kulikandamiza taifa langu ulinishinda asee) kuliko huyu Azam, ajikomaze kwanza kwenye Shirikisho.
Bado hamjasemaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtani dishi limeyumba si bure!
Hivi goli la Dube assist ya Chama uliona Leo? Ile ni professional football hata Madrid wangefungwa.

Yanga iko level ingine tofauti na akili zako zinavyokudanganya. Yanga si level ya APR au Simba huko tushatoka mwaka juzi!
Hata uto tukibeba world cup wewe bado utasema ni bahasha au ndumba!!

Sasa tutachukua points 6 kwenu kolokoloni sijui utasemaje!!Kipigo ni haki yenu makolo hadi mseme shikamoo Yanga Africa!!
Yangaa ipi iwe level ya Simba? Wee utoo umevurugwaaa?
Simba yuko no 7 CAF rankings club, vipii uto yuko no ngapiii?

Poleeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom