ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Azam anapigwa kama kasimama.Kila la heri Azam SC ;Ushindi mengi . Point 3 muhimu kwa Azam SC .
Jibu ni rahisi tu, mmiliki wa Azzam ni mwanachama wa maisha wa Simba.Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
Yanga hawezi kupania match ya simba hali ya kuwa anamfunga Simba kila mwaka kwenye ligi.. Simba hawezi kufukurukuta hats kidogo kwa yanga kwenye match za ligi kuu.. Ila zuka unaopanda pale no kwa kuwa DERBY..Hata yanga wanapania Sana mechi na Simba kuliko mechi za kimataifa
Simba anafungwa kwa kulogwa tuYanga hawezi kupania match ya simba hali ya kuwa anamfunga Simba kila mwaka kwenye ligi.. Simba hawezi kufukurukuta hats kidogo kwa yanga kwenye match za ligi kuu.. Ila zuka unaopanda pale no kwa kuwa DERBY..
Idara ya habari kitengo cha uhamasishaji,wanahamasisha watu kufika kwa wingi uwanjani kuishangilia timu yao.Mbona yanga ndo wanaonyesha wamepania zaidi kuliko hata azam... huoni hata msemaji wenu kaanza press kwenye maredio toka wiki lililopita.. kwanza match yenyewe imewapa moto mlikuwa hamjui hata mkachezee wapi mpaka mfadhili alipowambia hana hela za kupeleka timu arusha ndo mkaona hakuna namna mchezee tu hapa hapa dar
Idiot we, ety kwa kulogwa.. Ile siku mnakojolewa na Galaxy bao 3 ndani ya dakika 20 mlilogwa..???Simba anafungwa kwa kulogwa tu
YANGA vipi yeye alifanikiwa kusonga mbele nn? naona hujamtaja hapa kwamba alimkamia SIMBA akapigwa nje ndani na mnaijeria MNAZI.Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
Kwa yanga hii?Kila la heri Azam SC ;Ushindi mengi . Point 3 muhimu kwa Azam SC .
Miutopolo bhana... utadhani yenyewe haijatolewa Champions league kwa kupigwa nyumbani na ugenini...Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya Pyramids...
Najiuliza kwanini pressure hii wasingeitumia kwenye michuano ile labda angalau wangesonga mbele..au walijijua fika kuwa wasingeweza fika mbali?
Ifike pahala timu zetu wajifunze kukaza kwenye game za kimataifa ligi hii ipo tu...
Same tatizo hata kwa simba wameshindwa kushindana na kutoka kizembe wanakuja kuhaha kwa polisi tanzania.
Mechi zote mikia walizoshinda msimu huu timu pinzani walikuwa pungufu! Ongezea na mipenati ya kupewa.....! Mna li timu bovu mnoMashabiki wa utopolo ni maandazi sana. Mnajidai mna kikosi bora wakati mmecheza na timu zinazoburuza mkia.
Mpaka sasa Simba ndio tumecheza na timu bora za ligi kuu.